Recent content by HabariTech

  1. HabariTech

    Namna ya kupata location ya simu ya mtu kwa namba ya Simu

    Jaribu kutumia kwenye website utaona matokeo mazuri. Kwenye app tengeneza kabisa account
  2. HabariTech

    Namna ya kupata location ya simu ya mtu kwa namba ya Simu

    Hivi inawezekana kujua location ya mtu kwa kutumia namba ya simu? Hili ni swali ambalo nimeulizwa zaidi ya mara 10 mpaka sasa. Jibu ni ndiyo inawezekana kupata location ya simu ya mtu kwa kutumia namba ya simu anayotumia katika hiyo simu. Nilishaandika kuhusu “Kuona location, sms & calls za mtu...
  3. HabariTech

    Kwanini Graphics Designer Wanashindwa Kutengeneza Pesa?

    Nadhani itakuwa ni namna unazungumza na wateja na package zako zinabeba offer ipi.
  4. HabariTech

    Kwanini Graphics Designer Wanashindwa Kutengeneza Pesa?

    Umeongeza kitu cha muhimu sana mtaalamu
  5. HabariTech

    Kwanini Graphics Designer Wanashindwa Kutengeneza Pesa?

    Sikupingi katika hili. Wengi wanafeli hasa katika ubora wa skills zao. Unakuta mtu anatumia premium pricing, lakini anatoa kazi za hovyo sana.
  6. HabariTech

    Kwanini Graphics Designer Wanashindwa Kutengeneza Pesa?

    Kama umewahi kujaribu kuanzisha biashara wewe mwenyewe utakuwa unaelewa ilivyo ngumu kuanzisha biashara yenye mafanikio. Aina ya biashara unaweza kuanzisha ni nyingi mno, kiasi kwamba wengi huwa hawajui wanaanzia wapi. Tukiongelea creators kama graphics designers, wanapoanza huwa wanakubali kazi...
  7. HabariTech

    Amps, Volts & Watts ni nini? Kwanini Simu Yako Haichaji?

    Iwe ni chaji iliyokuja pamoja na simu au ulinunua baada ya kupoteza au ya kwanza kufa, wengi huwa tunazingatia amps, volts, na watts kujua kama chaji hiyo ni fast charger na kama inafaa kwenye simu zetu. Wasiwasi wetu huwa unakuja tunapoona chaji ya uwezo mkubwa inauzwa bei ndogo. Huu wasiwasi...
  8. HabariTech

    Namna ya Kupata Virtual Credit Cards & Debit Cards

    Umeshawahi kusikia maneno credit cards na debit cards? Inawezekana umekutana nayo katika mitandao ya kijamii, umesikia rafiki/ndugu wakiyatamka au kuyasikia kwenye movie, hasa movie za Marekani. Kama umewahi kusikia, huenda unafahamu kwamba huwa zinatumika kufanya malipo mtandaoni. Wazungu...
Back
Top Bottom