Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022, Anne Makinda amesema katika zoezi la Sensa mwaka huu jumla ya Makarani 10 wamepoteza maisha kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kujiua na kuuawa.
Makinda ametoa taarifa hiyo akiwa mkoani Manyara wakati alipokutana na Kamati ya Sensa Mkoa wa...
SILIPWI NA UBELGIJI, MIMI SIO MFUNGWA WA KISIASA - LISSU.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Antipas Mugway Lissu amesema halipwi na Serikali ya Ubelgiji wala Shirika la Wakimbizi kwa kuwa hakuomba ukimbizi wa Kisiasa (political asylum) nchini humo.
Akijibu swali aliloulizwa na miongoni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.