Recent content by Habari ya Mujini

  1. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Kitambue chombo VOYAGER 1

    Chombo Voyeger 1 bado ipo kwa hewa na inakadiriwa kuwa imeshakata kilomita zaidi ya bilioni 20 hadi sasa. Aidha chuma bado inatuma ujumbe duniani unaotumia masaa 24 kutufikia..!
  2. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi wampiga na kumuumiza maeneo ya kichwani muumini wa Kanisa la Gwajima

    Dini ni ulevi mbaya sana…! Afrika tutachelewa sana kupata maendeleo na moja ya sababu ni imani za kidini..! Kanisa limefungiwa na kuna kesi mahakamani..! Waumini mnaenda kufanya nini hapo? Mbona Kiongozi wenu haonekani kuja hapo? Nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria..kama waumini...
  3. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Miaka 10 mbele kutakuwa na club gani kubwa Arusha yenye hadhi ya Simba na Yanga? Mkuu mpira wa miguu unachezwa hadharani...iyo Afrika Kusini kuna viwanja ili jenga kwa ajili ya world cup 2010 kwenye baadhi ya miji hivi leo hakuna club zinauwezo wa kuvijaza..! Miaka zaidi ya kumi imepita..!
  4. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Mkuu unajua gharama za kutunza uwanja wa watazamaji elfu 60? Huo wa Mkapa wenye uwezo wa watazamaji elfu 60+ unafahamu huwa unajazwa ( full house) mara ngapi kwa mwaka? Kimsingi kwa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati na nchi nyingi za Kusini mwa Afrika hazihitaji kuwa na kiwanja zaidi ya...
  5. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Tena mafuta ya huo huo ufuta...!
  6. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Nakuunga mkono Mkuu...ila uhandsome siyo lazima uwe mweupe..!
  7. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Angalau nimefarijika..![emoji120]
  8. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Daaah...! Huu mwaka uishe tu kwakweli..!
  9. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Mim nikafupi alafu keupe...ukiniona kwa mbali kama dumu la mtindi la lita tano..! Kwa hiyo kwako nimeambulia patupu Mkuu?
  10. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Umeongea fact sana Mkuu..!
  11. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Hii Dunia ina wanaume wa hovyo sanaa..!
  12. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Sisi wanawake bwana!

    Mama anapata tabu ya nini? Akubaliane na maamuzi ya mwanae ya kumpiga chini huyo dada kisha jamaa anavuta chombo nyingine ubwabwa unaliwa kama kawaa..! Chapu kwa haraka yani..!
  13. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Mkuu hapa mbona unajichanganya na kukiri mkanganyiko...kama Mungu alishapanga kila kitu na anajua hatima ya kila kitu iweje tena atoe uhuru wa mtu kuchagua wapi anapotaka kuelekea?
  14. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa makofi baada ya kumwambia aende kwao

    Wanaume wanazidi kupungua kila uchwao..!
  15. Habari ya Mujini

    JamiiForums Tanzania Dada yangu kama hutaki bora usimpe kuliko kunyanyasia tamu mtoto wa mama mkwe

    Mwanaume mwenye misimamo na anayemjali mke wake hawezi kufanyiwa hayo mambo..!
Back
Top Bottom