Ndugu zanguni kazi kubwa ya dini yoyote duniani ni kuhubiri amani na upendo,,
ukiona kiongozi yoyote wa dini anahubiri chuki,uchochezi,huyu anamaslahi mengine na wala
siyo wa kuunga mkono, ,,wakati mwenyezi mungu anaumba dunia ,alikuwa akitumia maneno
kwa kusema kuwepo mchana na usiku, maji ya...