Recent content by H.M.MUYANGO

  1. H

    Msigwa vs Sosopi (Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa) Demokrasia ya CHADEMA ipo chini ya Mbowe

    Mimi ni mwana ACT na sijawachana kama chama cha ACTwazalendo ila ninawachana live kama mzalendo na mpenda Demokrasia
  2. H

    Msigwa vs Sosopi (Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa) Demokrasia ya CHADEMA ipo chini ya Mbowe

    Mlipouza chama kwa kada wa ccm hamkujijua kuwa mnafanana nao hivi sasa kasoro yenu na wao ni katika majina tu!
  3. H

    Msigwa vs Sosopi (Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa) Demokrasia ya CHADEMA ipo chini ya Mbowe

    Sijaandika kwa niaba ya ACT mimi ni mtu huru niliye kwenye chama cha ACTwazalendo haya ni maoni yangu juu ya ka Sacoss ka Mtei!
  4. H

    Msigwa vs Sosopi (Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa) Demokrasia ya CHADEMA ipo chini ya Mbowe

    Povu jingine! ACT kwenye uchaguz wake wa kwanza 2015 iliweka Historia kuanzia kupata kiti cha mbunge kuongoza Hslmashauri,madiwani 50 kutoka halmashauri 11 mbalimbali nchini na kushika nafasi ya 3 kwa mgombea Urais! Tupo kwenye safari ya ujenzi wa chama kilicho anzishwa 2014! Nawewe upo kwenye...
  5. H

    Msigwa vs Sosopi (Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa) Demokrasia ya CHADEMA ipo chini ya Mbowe

    Ukweli utatuweka huru wewe jipe moyo wakati ni ukuta!
  6. H

    Msigwa vs Sosopi (Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa) Demokrasia ya CHADEMA ipo chini ya Mbowe

    Muulize Mnyika kile chama alichokuwa anakifuata nyuma nyuma na kuwapotosha wananchi wasikipokee kila kilipo pita kufanya ziara wakati kinatambulishwa katika nchi ya Tanzania.
  7. H

    Msigwa vs Sosopi (Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa) Demokrasia ya CHADEMA ipo chini ya Mbowe

    Nadhani umeyaelewa yaliyo andikwa ila kichwa hakishabiani ni kosa la kiufundi ila Ujumbe umeupata naomba uuelewe.
  8. H

    Msigwa vs Sosopi (Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa) Demokrasia ya CHADEMA ipo chini ya Mbowe

    Jiwe Gizani paaaa! Mtaelewa tu! Siasa zenu mnazijua sasa mmeanza kumlaumu Msigwa eti amuachie Sosopi sasa hiyo Demokrasia ipo wapi? Nakumbuka enzi zile Zitto aliambiwa amuachie Mbowe yaani hili hamna la kujifunza wala kujitetea chama chenu kinaongozwa na genge la watu wenye chama chao.
  9. H

    Msigwa vs Sosopi (Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa) Demokrasia ya CHADEMA ipo chini ya Mbowe

    Ninaona niwaeleze wanajukwaa kuhusu uenyekiti wa Kanda ya nyanda za juu kusini mtapigana vikumbo,mtagombana ila Demokrasia ya Chadema ipo kwa pilato Mbowe! Mnajifanya hamjui kuwa Chama chenu kina ugonjwa wa kutoheshimu Demokrasia? Sosopi ni Mchunga ng'ombe na Msigwa ni Mchungaji wa kanisa bado...
Back
Top Bottom