Recent content by Gyn A-B

  1. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habarini wana JF. Kwa mwl.idara ya sec. anayehitaji kuja Itigi-Manyoni..(SINGIDA) akitokea Songea (M) tuwasiliane tafadhali. 0788-448728
  2. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kila tukitofautiana tu anatishia kujiua

    Kamripoti polisi.
  3. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Hivi Bw.Pinda kwao Ni Mbeya?

    Kwenye ardhi ya wapi ndugu? Na umethibitisha kwa akina nani?
  4. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Hivi Bw.Pinda kwao Ni Mbeya?

    wewe ni raia wa Tanzania!? "Tuanzie hapo kwanza"!
  5. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Ipo siku nitamtukana mtu hadi nipigwe ban kupanda daladala

    Huyo atakuwa ni "ke" tu. Mnase vibao.
  6. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Ipo siku nitamtukana mtu hadi nipigwe ban kupanda daladala

    Kwani akikulipia kuna ubaya gani...!? "weka mbali tu tigo yako."!
  7. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Ikwiriri sekondari

    Ahsante sana kwa maelezo Makamee Shida yangu nimpate mtu yoyote anayehusika pale. Nadhani hapa jamvini kunaweza kuwepo na wahusika wa shule hiyo.
  8. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Basi la 5Alliance lawaka moto

    Soma comments zote mkuu. Usikurupuke kamanda.
  9. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Basi la 5Alliance lawaka moto

    Unadhani Mungu anasikiliza maombi ya kipuuzi puuzi kama hili lako..! Wewe bado unadhani Mungu ni Athuman....!?
  10. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Basi la 5Alliance lawaka moto

    Haaaa Haaaaaaa Haaaaaaaa Ni kweli lakini Makamee Nimekupa like,ajali za kipuuzi hizi hazina haja ya pole bhana.
  11. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Ikwiriri sekondari

    Soma vizuri,sio Nguruwe,ni Nanguruwe mkuu.
  12. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Basi la 5Alliance lawaka moto

    Makamee. Jamaa amesema pole "yao". Unadhani neno "yao" ni akina nani kama sio moja kwa moja General8 anawalenga abiria? Unadhani usumbufu watakao upata hapo hadi kupata usafiri mwingine na hasara ambazo wanaweza kuzipata hazihitaji "Pole"?
  13. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Ikwiriri sekondari

    Mbona ni jina la kawaida sana mdada....!? Sasa Ikwiriri na Nanguruwe lipi jina lenye afadhali. Una msaada wowote tafadhali.!?
  14. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Ikwiriri sekondari

    Weka masikhara pembeni,kama unaweza ukatoa msaada ni vizuri ukanisaidia.
  15. Gyn A-B

    JamiiForums Tanzania Ikwiriri sekondari

    Habari zenu wakuu. Labda niende moja kwa moja kwenye mada yangu ambayo ndiyo shida yangu kimsingi. Kuna yeyote anayeifahamu au anahusika kwa namna moja au nyingine katika shule tajwa hapo juu.!? Nina tatizo kubwa sana kuhusu mtu mmoja ambaye ni mfanyakazi wa shule hiyo,siwezi kuanika kila kitu...
Back
Top Bottom