Habari zenu,
Mimi ni binti mwenye miaka 24, natafuta rafiki, mpenzi ambae tutajenga urafiki na kama Mungu akijalia tufunge ndoa.
SIFA ZANGU
1. Mrefu maji ya kunde.
2. Nina mwili kiasi.
ELIMU
Kidato cha sita japokua nilibahatika kwenda chuo ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na sababu za...