Binafsi ningependa mama yetu apumzike 2025,Tunahitaji Rais ambaye ni mzalendo,mwenye uchungu na Taifa hili,mwenye kuweza kulinda rasilimali za Taifa kwa manufaa ya kizazi hiki na kizazi kijacho,Rasilimali za Taifa zinufaishe wananchi kuliko wageni kama ilivyoelezwa katika katiba ya yetu,kwamba...