Huko ni kuchoka kufikiri,yule mlie mshabikia kuwa ni kijana 2005 kaiweka wapi nchi,zaidi ya kuifilisi mpaka kucoz migomo kwa safari zisizo na msingi,ko na huyo mnataka akaangalie basketball marekani?Piga ua mzee yeyote atakae simama ana kura yangu,siwaamini tena vijana wenzangu,maana bado akili...