Recent content by gwangwayM

  1. G

    JamiiForums Tanzania Anaumia wakati wa tendo

    Nimecheka mpaka basi(missing)
  2. G

    JamiiForums Tanzania Anaumia wakati wa tendo

    ndg zangu nimecha mpaka basi, yaani mnamshauri mwenzenu akapake blueband,really I appreciated this is new year 2016.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Dada zetu msiwakute vituoni wamependeza mkawashobokea wengine wauza baa!

    Kazi ni kazi tu,haijalishi anafanya wapi, Cha msingi chakula kiende mdomoni huyo dada yuko sahihi khabisa maana ndo kazi yake inayompatia kipato, don't discourage the one who struggling for his/her life!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zanzibar

    Zanzibar wamtangaze tu Maalim Seif kuwa rais wa zanzibar, zec isipotoshe democracy!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakupunguza ukubwa wa Serikali, ameongeza

    Watanzania huwa hawaachi kulalika,hivi Rais afenyeje? kila akijaribu kufanya jambo maneno kibao wakati hata ww ukipewa majukumu hayo ungechemsha tu! ww ni sawa na mtu aliye nje ya uwanja wakati wachezaji wakiendelea kucheza, utakuta ukilaumu baadhi ya wachezaji kuwa wangecheza kama utakavyo ww...
Back
Top Bottom