Recent content by Gwallo

 1. Gwallo

  #COVID19 Corona: Chanjo hadi Desemba

  Kupata Vaccine lazima tufuate protocol ataanza mama, Makamu wake, baraza la Mawaziri, .....mpaka mimi niliyeko Endabash huku nitakuwa nimeshajua kama chanjo iko vizuri au laa !!
 2. Gwallo

  Waziri wa Elimu anasimamia asichokiamini? Mwanae anasoma English Medium

  Mkuu Yule jamaa ambaye ameshaenda zake kuna waziri katika Serikali yake angeweza kuwa na msuli wa Kumbishia ?
 3. Gwallo

  Rais Samia, Usiruhusu wakugombanishe na umma

  Huyo jamaa toka arejee CCM post zake hazishirikishi tena ubongo.
 4. Gwallo

  Rais Samia, Usiruhusu wakugombanishe na umma

  Mkuu toka uliposema uko upande wa Mama naona post zako nazo zimekuwa ndivyo sivyo
 5. Gwallo

  John Munisi Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai, aliyepewa kesi ya ubakaji Hai afanya Misa ya Shukrani

  Halafu anakuja mtu hapa na kusema Sabaya anaonewa......Mungu ni Mkuu sana na Nia zake hazichunguziki wala utendaji wake wa kazi
 6. Gwallo

  Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

  Hata kama mtu angekuwa mbaya kiasi gani, saa ya mateso yake lazima huja Huruma
 7. Gwallo

  Godbless Lema: Waziri Simbachawene, 'mortgage plan' kwa wafanyakazi wote wa Serikali ndiyo suluhu ya muda mrefu

  Ningekuwa Moderator hii aina ya post isingekuwa na nafasi kabisa, wala nisingetoa mwanya kwa watu aina yako ku-post uchafu usioweza kuthibitishwa !!
 8. Gwallo

  Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

  Wewe unayejitokeza kumtetea Sabaya na kuita S4C sijui kama unamfahamu unayetaka kumtetea....Kama Jamhuri imeona ana tuhuma za kujibu wewe ni nani na wanaokusapoti ni akina nani kama siyo mnufaika wa uongozi mbaya wa kifedhuli wa huyu Kijina....tunaoishi Arusha tunafahamu upumbavu aliokuwa...
 9. Gwallo

  Freeman Mbowe aongoza Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tabora Mjini

  Daa hii chama imesukwa, imepigwa, imefanyiwa uharamia mwingi na Mengine mengi ila mkono wa Mungu uliendelea kuwa juu yao.
 10. Gwallo

  TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

  Lile chozi alilodondosha wakati wa msiba wa jiwe alikuwa anajua sasa maovu yake yataanikwa na mtetezi ndiyo amelala
 11. Gwallo

  Barua ya Ole Sabaya akiomba hela kampuni binafsi kusaidia CCM - 2019

  Hivi mwendazake alivyokuwa anasema yeye ni Rais wa wanyonge huku kuna majambazi kama haya kwenye utawale wake.....
 12. Gwallo

  Godbless Lema ana utabiri wa Mungu au ni Mpiga Ramli?

  Pamoja na kwamba alipozungumzia suala la Mwendazake aliambulia kwenda jela. Sasa suala la Kwamba anayafanya haya kwa uwezo gani kati ya hizo mbili ulizosema ni bora ukamtufuta Lema mwenyewe akufafanulie
 13. Gwallo

  Kuanzia Julai 1, 2021 rasmi CHADEMA wanarejea kwenye ukorofi

  Mkuu Wakudadavuwa Mama hajakukumbuka hata shavu la mkuu wa Wilaya...Daa !!
 14. Gwallo

  Machinga waanza kunyanyaswa rasmi hawatakiwi huu si wakati wa wanyonge

  Machinga na mpango miji ni vitu viwili tofauti...mitaa ya Arusha Barabara nyingi wamezifunga Machinga....Daa Mgambo wakirudi nitafurahi sana ili kuweka Jiji safi !!
 15. Gwallo

  Machinga waanza kunyanyaswa rasmi hawatakiwi huu si wakati wa wanyonge

  Mkuu umekosea siyo 50,000 wanalipa 20,000 wanapewa Kitambulisho cha kuvinjaro popote watakapo kufanyia Biashara
Top Bottom