Inabidi tutambue jambo moja hata nusu ya watz hawatokuja kuelewa Juu ya vipengele vyote ktk katiba hata baada ya kupata elimu mchakato wa maoni ulishafanyika majority wakatoa maoni yao na pesa nyingi ikatumika wananchi tunaitaji katiba mpya
Upinzani ni kujipanga from now na wasimamizi wao loyal nadhan kila kituo kikiwa na usimamizi mzuri na kura zikiwa nyingi mbona watashindwa kupindua matokeo ila wakiendelea kulialia ss watakua wanawaangalia uku wanagonga cheers
Kuna jamaa alikutwa na 20kg za tandala kama kitoweo na akala mvua ya 20yrs yaani kila 1 kg ni mwaka mmoja uwezi ona hatua zozote Juu ya hili imeenda hiyo
Kwahyo unakubali jua linazama kwenye matope ? Kaa tambua kukiwa usiku Tz au East Africa kuna nchi nyingine ni mchana na jua ndipo unapogundua dunia ndio inayo lizunguka jua
Viongozi wamejiwekea na Kinga kabisa hapo ukute watu hali ni mbaya kimaisha ivo vipande vilikua ni kitoweo chao ... Ubadhirifu wa mamilioni utasikia msimamishe kazi uchunguzi ufanywe imeisha iyoo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.