Recent content by gutierez

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Jesus Navas vs timu yake ya zamani leo Sevilla
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UEFA CHAMPIONS LEAGUE: The Road to Milan

    usijali Sevilla anapita kundi lake,maana Man City na Juventus zote zitafungwa zikija Ramon Sanchez Stadio jijini Sevilla,Valencia akiwa estadio Mestalla jijini Valencia nae leo nategemea anafanya mauaji makubwa kama waliofanya jana Real,Atletico na Sevilla,achilia mbali mabingwa watetetezi FC...
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UEFA CHAMPIONS LEAGUE: The Road to Milan

    umewaona Sevilla jana,Man City akija Ramon Sanchez na hata Juve hazitoki pale
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UEFA CHAMPIONS LEAGUE: The Road to Milan

    Nina uhakika timu zote 5 za Spain msimu huu ya La liga zitaingia second round,Barcelona FC,Real Madrid,Atletico Madrid,Valencia na Sevilla,timu 5 kutoka miji 4 mikubwa nchini Spain yaani Madrid,Barcelona,Valencia na Sevilla respectively
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Thomas Vermalean kafunga bao lake la kwanza kwa Barca juzi,msimu huu kaanza kucheza baada ya kuwa majeruhi na kukalia benchi karibia mechi 37 za la liga msimu uliopita.
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Home of AC Milan, Official Thread

    Masahahisho palipopigiwa mstari With 18 officially recognised UEFA and FIFA titles, they are the second most successful club in the world in terms of number of international titles, together with Boca Juniors and Real Madrid C.F., and behind Al Ahly SC with twenty titles.[5][6][7] Milan has won...
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Happy Birthday Sergio Busquets i Burgos tarehe 16 Julai kwa kutimiza miaka 27 leo.
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special Thread, COPA America 2015

    Italy wana rekodi kila baada ya miaka 12 kucheza Fainali world cup eg 1970 wakafungwa 4-1 na Brazil kule Mexico City,Mexico,1982 wakamfunga Ujerumani 3-1 kule Spain ktk uwanja wa santiago bernebeu jijini Madrid,1994 wakafungwa kwa penati na Brazil kule USA,na mwaka 2006 wakashinda kwa penati vs...
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special Thread, COPA America 2015

    Samahani masahihisho Colombia alimchapa 5-0 Argentina sio 4-0,ila sasa ni ngumu sema nampa Chile kubeba 7bu mwenyeji hii copa america 2015
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special Thread, COPA America 2015

    Nakumbuka kuwania kwenda world cup 1994 kule USA Colombia alimchapa Argentina 4-0 na Maradona wao,Pele akadiriki kusema Colombia watabeba kombe la dunia,amerika kusini wanajuana wale kwa vilemba mechi zao ngumu kutabiri
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Special Thread, COPA America 2015

    America Kusini mara nyingi wakicheza hususan ktk makundi mwenyeji huwa anashinda,ila kwa sasa ili copa america bado,sema naweza kuwapa Chile nasubiri Paraguay na Uruguay kisha hata Argentina nao ndipo nitakuja na utabiri wangu.
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachambuzi bora watano wa soka nchini

    Gang Chomba na AC Milan,jamaa anajua kuichambua AC Milan kwa lugha zote english,swahili,kimakonde,kiitaliano,kiarabu,kihausa na hata kisomali dah jamaa ananiacha hoi sana akiisifia AC Milan yaani sidhani kama kuna shabiki kama yeye wa AC Milan mwenye roho ngumu kama yeye,maana AC Milan hii kama...
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viungo Bora Zaidi Kwenye Soka

    Busquets,Iniesta,Alonso,Xavi,Fabregas,Javi Martinez na wote La Furia Roja
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa ndio mabingwa wa Klabu bingwa Ulaya tangu kuanzishwa kwake

    hajabeba klabu bingwa la bara lolote eg ulaya(UEFA champs ligi)au Africa ,au Asia au sudamericano nk.
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa ndio mabingwa wa Klabu bingwa Ulaya tangu kuanzishwa kwake

    Hajabeba kombe la dunia
Back
Top Bottom