Recent content by GUSSIE

  1. GUSSIE

    Je?.Chadema ni chama cha Mbowe au ni Taasisi

    Hilo swali angeulizwa yule aliewapa mtaji wa kuanzisha vyama miaka ile ya 1990's ili kupanua demokrasia Tanzania Je unaweza mdharau aliyekupa mtaji ,Sio kitu rahisi sana kwa mtu mwenye akili timamu kama Mbowe Hiyo nafasi ya uenyekiti atakuja kurithishwa Mkwe ambae ataheshimu historia...
  2. GUSSIE

    Je?.Chadema ni chama cha Mbowe au ni Taasisi

    Mimi nafahamu ukweli,Tatizo linakuja kwa wafuasi wake kama@Yericko Nyerere ambao wanamuona Mbowe ni Immortal na kutwa wanaimba mapambio hapa JF kwa verse; "Mbowe is living Forever" "Mbowe will never decay" "Mbowe will never die" Sasa kama akina Yericko Nyerere wanaamini bila Mbowe hakuna...
  3. GUSSIE

    Mmoja aliahidiwa Vyeo vyote akakataa akatupwa Jela kisha Akaridhiana, Mwingine Risasi 16 alivyopona akaahidiwa Cheo akakataa, sasa Uchaguzi ni Wako'!

    Chadema ni mali ya Mbowe au Taasisi? Maana inaonekana yupo na ataendelea kuwepo hivyo hakuna mtu wa kumfukuza kwenye chama chake mwenyewe
  4. GUSSIE

    Awamu hii ni ama ivuke Chadema sanaa au ivuke Chadema wazalendo. Haiwezi kuvuka imechangamana

    Chadema ni taasisi au chama cha Mbowe Chadema ni kama Solepropriator ,Mmiliki ni Mbowe ila ina trade kama Chadema
  5. GUSSIE

    Je?.Chadema ni chama cha Mbowe au ni Taasisi

    Wanabodi, Kuna wakati wafuasi wa kanisa la Full gospel Bible church linaolomilikiwa na Askofu Zakaria Kakobe waliwahi kudai hati za ardhi za kanisa na viwanja wakijua zimeandikwa jina la kanisa wakaja kushtuka wamepigwa na kitu kizito mahakamani ,Kumbe lile kanisa ni mali ya kakobe viwanja...
  6. GUSSIE

    Tetesi: Eli Mpanzu ni mchezaji wa simba,Atatangazwa karibuni

    ELie Mpanzu miaka 22 kutoka congo atatambulisha hivi karibuni mitaa ya msimbazi Elie Mpanzu alikuwa mchezaji wa As Vita club ambaye mkataba wake umetamatika msimu huu,Kwa mujibu wa manager wa Mpanzu na taratibu za Congo mkataba ukitamatiki mchezaji ni mali ya club yake ya kwanza ambayo pia...
  7. GUSSIE

    PreGE2025 Je, Ulishangaa siasa za Makonda na Ally Hapi? Ya Nape na Makamba utayapata uchaguzi wa 2024 na 2025

    Mkuu wewe huijui ccm,Hao wanaongeza nguvu ccm,Time will tell
  8. GUSSIE

    PreGE2025 Je, Ulishangaa siasa za Makonda na Ally Hapi? Ya Nape na Makamba utayapata uchaguzi wa 2024 na 2025

    Tukumbushane zile kelele zenu za DP world ziliishia wapi? Na zile kelele za report ya CAG ziliishia wapi? Kwa ufupi watanzania wengi ni wasahaulifu na bendera fuata upepo, Ni vyema vijana wakaendelea kujikita kwenye mambo ya simba na Yanga , Vichekesho ni pale watu wa upinzani badala ya...
  9. GUSSIE

    Bila Shikwambi huwezi kushinda uchaguzi Tanzania, Uchaguzi ni mchakato

    Usifurahie Nape kutolewa uwaziri
  10. GUSSIE

    Upigaji kura na Ni nani anapiga kura ? Ni nani anajitokeza kupiga kura ?

    Mape amewaambia wasahau sanduku la kura
  11. GUSSIE

    Joseph Guede amesajiliwa na Singida Black Stars, Bongo wageni wamefika

    Mchezaji aliyeachwa na Young Africans, Joseph Guede leo amekuwa mchezaji kamili wa Singida black stars, ameungana na akina Kennedy Juma kuitumikia Singida Black stars Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wakubwa wachache sana na wao ndio wenye nguvu kwa wachezaji, wana uwezo wa kumzungusha mchezaji...
  12. GUSSIE

    Rais Samia fukuza Mkuu wa wilaya ya Ubungo Dar es salaam amejigeuza hakimu, Polisi na Afisa upelelezi

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam bwana Albert chalamila juzi alikiri mbele ya Rais Samia siku ya upokeaji wa taarifa ya haki jinai nchini kuwa sasa ameacha ujinga na kuruka ruka kuwabughuzi wananchi bali atazingatia sheria, taratibu na kanuni za nchi. Albert Chalamila mbele ya Rais Samia...
  13. GUSSIE

    Motivational speakers hawahitajiki nchini kwasababu matatizo tuliyo nayo yanatosha kutukumbusha kufanya kazi kwa bidii na maarifa

    Chief Good Love Anasema ana mahela lakini anachangisha raia 100.000 wajiunge kwenye darasa lake la utajiri na jicho la tatu
Back
Top Bottom