Karibu kwenye mafunzo ya ujasiriamali na masoko utafundishwa utengenezaji wa sabuni ya unga na sabuni ya maji, sabuni ya mche, kutengeneza mshumaa, kutengenenaza purfume, kutengeneza shampoo, jinsi ya kutengeneza vifungashio vyenye ubora, na bidhaa nyingine mbalimbali zinaendana na uhitaji wa...