Recent content by guojr

  1. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa TCRA na Jeshi la Polisi

    Mimi na wewe tunaweza kuachana nazo, vipi kwa mzee aliyepo kijijini anataka kumtumia hela kijana wake aliyepo shule halafu akutane na utapeli huu?
  2. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa TCRA na Jeshi la Polisi

    Tupaze sauti tusichoke.
  3. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa TCRA na Jeshi la Polisi

    Naelewa ukifanya blacklist ya hizo keywords inaweza ikajumuisha hata sms za kweli. Ila ni bora iwe hivyo tutapigiana simu ikibidi kuliko hizi sms ziendelee. Kuhusu TTCL kubadili focus ya biashara, kama nakuelewa sikuhizi wamejikita zaidi kwenye biashara ya data kupitia fiber zaidi kuliko huduma...
  4. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa TCRA na Jeshi la Polisi

    Habari za muda huu wana jukwaa. Leo nimekuja na ushauri kwa TCRA na jeshi la Polisi kutokana na uhalifu wa mtandaoni. Uhalifu wenyewe ni huu unaohusu kutumiwa ujumbe mfupi wa maneno wa kitapeli. Katika utafiti wangu mdogo, nimegundua mambo kadhaa. Mosi, namba zinazotumika kufanya utapeli ni...
  5. guojr

    JamiiForums Tanzania SoC04 Umuhimu wa Uongozi Imara na Taasisi Madhubuti kwa Utawala Bora Tanzania

    Katika kipindi cha miongo michache iliyopita, Tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, changamoto za utawala bora bado zinabaki kuwa kikwazo kikubwa katika kufikia malengo yetu ya maendeleo endelevu. Ni wazi kuwa uongozi imara na taasisi madhubuti ni...
  6. guojr

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mali Asili za Tanzania Zinapaswa Kuwafaidisha Wananchi Kwanza

    Utangulizi Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa wingi wa mali asili zinazojumuisha madini, misitu, wanyamapori, ardhi yenye rutuba, na vyanzo vya maji. Kwa miaka mingi, mali hizi zimekuwa zikivutia wawekezaji kutoka nje ya nchi huku wananchi wakibaki bila kunufaika ipasavyo. Ni wakati mwafaka sasa...
  7. guojr

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tunayoitaka: Dira na Uwezekano

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na utamaduni, imekuwa ikipiga hatua kubwa katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hata hivyo, ili kufikia ndoto ya Tanzania tunayoitaka, kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanapaswa kuzingatiwa. Makala hii itajadili masuala ya kiuchumi, kijamii, kisiasa, na...
  8. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Solution yangu ni ku solve hasa kwa wasiodai risiti kabisa. Kama atakupunguzia na kukupa risiti its OK. Kumbuka ukidai risiti unarudishiwa pesa yako ambayo ni 1% ya VAT uliyotozwa.
  9. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Kwasababu utapata sms ya risiti papohapo, utaona bei aliyokuandikia ikiwa tofauti unamwambia akuandikie ya kiasi kilicho pungua papohapo
  10. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Taarifa anazojaza kwenye EFD ndio hizo hizo atajaza kwenye App ya TRA utofauti ni kuwa kwenye EFD aki submit inatoka risiti ya karatasi ila kwenye huu mfumo utatuma sms automatically kwa mteja simple as that
  11. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    kwahiyo unataka kusema EFD machine pia hawawezi kuzitumia? Maana kwenye mfumo anachojaza ni bidhaa, bei na namba simu ya mteja tu. Kama ambavyo angejaza kwenye EFD machine.
  12. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Kwenye huu mfumo kinachobadilika ni kuwa mfanyabiashara hatatumia machine EFD bali atajza taarifa za ununuzi kwenye mfumo kama kwenye EFD ikiwemo na namba ya simu ya anayenunua then aki submit mteja anatumiwa sms ya risiti yake.
  13. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Ndio
  14. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    😂😂😂
  15. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TRA ifanye hivi kuongeza mapato

    Sijui
Back
Top Bottom