Recent content by Gunitaa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mawio huu ni udhalilishaji, Nape funga huo ujinga

    Kinachoangaliwa je ni taarifa za ukweli au uongo,kama ni ukweli hakuna tatizo
  2. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Rais halali, msiwadhulumu wananchi haki yao ya kuwakilishwa

    Hatumtambui huyo raise kwenu,CCM mmekalia kuua watu tu
  3. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

    Huyu Dada alitoa jina ila tume walirudisha jina,na mtatiro wala hajalalamika,na alipendekeza Dada apewe viti maalum, wala Dada hana kosa tume ndiyo waliogoma kutoa jina
  4. G

    JamiiForums Tanzania Asilimia 82 ya wanafunzi wakosa mikopo 2015/16

    Hapa kazi tu,na mtanyooka nwaka hu,kakopeni kwa bibi zenu,simnasema tutaisoma namba,ngoja nyie muisome vizuri
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiria Mkopo Second Lot, Tukutane hapa

    Hapa kazi tu,mkopo hakuna kachukue kwa bibi yako
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbowe anaweza kufanya jambo lipi katika siasa?

    Anaweza kutembea na mama yako
  7. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    Mpo hapa kazi tu wakati mnadhurula barabarani tu,mnakaa kwa Shemeji zenu,walionakazi zao hawaipendi system,nyie msiokuwa na mbele na nyuma muda wote mpo kwenye simu tu,mpo hapa kazi tu,wakati mnataabika tu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Chama cha waha A.C.T wamepata wabunge wangapi
  9. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Wakati kazi hamna mnaokota makopo tu na kukaa kwa kina Shemeji,na wengine umri miaka 25 bado mpo kwa wazazi mnakula ugari tu
  10. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Mi nimefata kuangalia wasanii kirumba,ndiyo naondoka zangu kura yangu kwa lowassa,nyie endeleeni kudanganywa hapa kazi tu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mama Maria Nyerere na viongozi wastaafu wa CCM wanakuomba umpe kura yako Mh. John Magufuli

    Ni lowassa tu atosha,eti hapa kazi tu,wakati mnazura na bahasha barabarani
  12. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Dah mimi ni CCM damu ila kura yangu itabidi nimpe yeye lowassa
  13. G

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa atakuwa live Star TV, leo Oktoba 7, 2015 - saa tatu Usiku

    Mzee huyu ni mpuuzi wakupwa,ni Malaya tu
  14. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Na malori tumeshaandaliwa ya kupanda kwenda kwenye mikutano,naona jukwaa kubwa La fiesta limeshawekwa,tumemisi fiesta kwa kweli.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Picha na Habari: Maneno ya Lowassa baada ya taarifa za kifo cha Mch. Mtikila

    Hekima ya lowassa imenifanya nimpende tu
Back
Top Bottom