Recent content by gundaki

  1. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nimeidhinisha shilingi bilioni 147 mikopo ya wanafunzi, nitashangaa wanachuo wakihangaika

    hongera sana jpm hakika ww ni mpango wa mungu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Kama hujui nchi hii inapokwenda, una akili kweli wewe?

    hongr makonda, wasiokupenda wanalalama tu hapa ni kazi tu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu & Manaibu Katibu: Wamo Mnyeti, Mangu, Kashilila..

    hongera sana rais kumuona mkuu w korogwe ni mchapa kazi sana mungu mtangulie na kumbarika
  4. G

    JamiiForums Tanzania Isaya Mngulu (DCI mstaafu) ashinda uenyekiti wa CCM Same

    hamna tatizo hapo , tunaomba arejeshe jimbo letu LA s mashariki kwa ccm
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msisahau mwezi ujao kuna uchaguzi mdogo hivyo ahadi hizi mzichuke kwa tahadhari kubwa sana

    wewe umechanganyikiwa kwa hotuba ya Leo kule zanzibar , magufuli mbele kwa mbele watakuelewa tu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Rais Magufuli hakukataa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma bali posho za Madiwani

    nakuona umevaa dela, ila kwaserekali hii ya mheshimiwa kila goti litapigwa kwa speed ya maendeleo
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Rais Magufuli hakukataa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma bali posho za Madiwani

    pole maana hujui na wala huelewi unachokiandika
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Rais Magufuli hakukataa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma bali posho za Madiwani

    wewe siulikua umekunywa gongoo.. ndio maana ulisikia hiyo kauli , acheni raisi ainyooshe nchi
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Rais Magufuli hakukataa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma bali posho za Madiwani

    ww kazi yako sikulishwa maneno na ufipa poleni yamewashida
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Rais Magufuli hakukataa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma bali posho za Madiwani

    Mimi sijasikia sehemu yoyote magufuli aliposema hataongeza mshahara hizo ni kauli za cdm maana kwao raha ni kuona serekali inakwama mtasubiri sana, mungu mbariki rais magufuli Mara 10000000....
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yafanya ujenzi wa madarasa Tanga

    hongera sana mkurugenzi wa korogwe na mkuu w korogwe mna speed ya maendeleo hasa katika ujenzi wa madarasa , wana korogwe tumepata viongozi wachapa kazi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya treni viliokotwa leo wananunua, Mshahara hapandishi leo "hakusema"

    achana na hao cdm nia yao nikuona serekali ya magufili inaboronga , mtasubiri sana hapa kazi tu!
Back
Top Bottom