Wanahitajika watu kujaza nafasi za kazi. TANGAZO KAMILI NI HILI LIFUATALO:
Applications are invited to fill in the following vacant posts in our organisation:
1. Shop Supervisor - 1 post
2. Inventory Controller - 1 post
3. Shop Attendant - 3 posts
Mode of Application for all posts...
Ndugu zangu Jana naona wakandarasi wamekuja kusawazisha. Naamini Uzi huu utakuwa umedaidia maana hata jinsi kazi ilivyofanyika yaonekana ilikuwa ya harakaharaka yaani BORA LIENDE tu. Inaonekana jamaa wamefanya harakaharaka kazi ionekane imefanyika. Sio nzuri kihivyo lakini yeyote aliyefanikisha...
Wanajamvi,
Nimeshangazwa sana na watu hawa. Wiki 7 (karibu miezi 2) zilizopita lilipita gari la matangazo njia yote kutoka Mombasa hadi Moshi Bar likitaarifu kuanza kujengwa kwa kiwango cha lami varabara ya Mombasa - Moshi Bar. Tangazo lilikuwa. Hivi " Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Mh...
Kwa kweli Kwa shida ya usafiri ilivyo mfanyakazi kama anapangishiwa chumba maeneo ya karibu na ofisi nianze kuuliza Kwa ndugu na jamaa mwenye uzoefu aweze kupata Kazi hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.