Recent content by gumboot

  1. gumboot

    Nini dawa ya kuacha matumizi ya tumbaku hasa ugoro?

    Can smokeless tobacco affect my oral health? It may cause tooth decay in exposed tooth roots. It can also cause your gums to pull away from your teeth. If this happens, your gums will not grow back. Additionally, leathery white patches and red sores are common in dippers and chewers. Those...
  2. gumboot

    Dawa ya erecto - 20mill, 50mill na 100mill, je zinachelewesha kufika haraka?

    Baadhi ya madhara ya dawa za kuongeza nguvu za kiume ni kuumwa na kichwa, kuharisha, kichefuchefu na kizunguzungu. Watumiaji chache wanakabiliwa na madhara haya. Madhara haya ni kawaida kwa watu wale ambao hubadili dawa mara kwa mara bila kufuata ushauri wa daktari.
  3. gumboot

    Mume wangu hanifikishi kileleni : Ushauri

    Haya mambo ya kilele ni two way traffic,ni hivi kama wewe ni mama fanya mazoezi ya kubana papuchi ili friction iongezeke,pia usipendelee kifo cha mende style ,hapo juu naona umeshauriwa style,pia kama utatumia kifo cha mende nyoosha miguu alafu bana baba apite utaniambia hata ukisikia utamu...
  4. gumboot

    Naomba kujuzwa dawa ya jino linaloota la mwisho

    Kawaida binadamu ana meno 32 sasa kama wewe una 34 itakuwa siyo sawa.Pili magego huwa yanauma kwa watu wote na sidhani kama kuna dawa mpaka jino limalize hatua yake ya kukua.
  5. gumboot

    Hii ni salama kiafya?

    Hili ni tatizo kaka,angekuwa kajifungua salama tungesema jitahidi kulea...ila kikawaida si vizuri mtu aliyejifungulia kisu kuwahi kubeba mimba ,unatakiwa ukae miaka miwili ili layer za ngozi ziwe zimepona.Japo kuna wifi yangu aliwahi kuzaa baada ya mwaka kwa njia ya C japo alikuwa hafanyi kazi...
  6. gumboot

    Tumbo kuuma sana

    Yaani hilo sio tatizo tukifuata tarehe hapo juu ni kwamba tarehe 14 hadi 17 ulikuwa ovulation na ute kutoka ni kawaida kabisa ndo inavotakiwa,sasa hapo kinachotakiwa ni mazoezi tu ya kawaida na kwa kipindi hiki ndo unaweza pata ujauzito.Yess wakati mwingine ute unakuwa mwingi ila unaweza ukavaa...
  7. gumboot

    masuperstar

    hiyo swaga ya nguo zake hairuhusu bra...
  8. gumboot

    Wanyakyusa punguzeni uchawi kwa wageni tuje kuwekeza mbeya

    Nilidhani kinyakyu...nabwondachizi echinyarwanda mama wange no munyarwanda ...nganyira
  9. gumboot

    Wanyakyusa punguzeni uchawi kwa wageni tuje kuwekeza mbeya

    Mimi sielewi hiyo lugha ila wanyakyusa walinikomesha sina hata hamu mpaka hapa ninapoandika natamani kuangua kilio...
  10. gumboot

    Kuhusu kunyonyesha kwa mama mwenye virusi vya UKIMWI

    Mambo yanayochangia kuongeza hatari ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto • Mama kuambukizwa virusi vya UKIMWI wakati wa ujauzito au wakati wa kunyonyesha: Nyakati hizi mama ana virusi vya UKIMWI vingi kwenye damu na hivyo uwezekano wa kumwambukiza mtoto...
  11. gumboot

    Wanyakyusa punguzeni uchawi kwa wageni tuje kuwekeza mbeya

    yaani umepatia kabisa...hawa jamaa ni noma sana walinifanyizia hadi sasa mtoto wangu ananisumbua sana,,..
  12. gumboot

    Wanyakyusa punguzeni uchawi kwa wageni tuje kuwekeza mbeya

    Nimeipenda hiyo..alakomeye chane....lol
  13. gumboot

    Waraka kwako Abiria wangu (Binti) ninaekupaga Lifti asubuhi!!

    Hiyo ndo inaitwa kantangazeeee...
  14. gumboot

    Makenzi

    Biashara nzuri ila ungeweka contact sio wote wanapenda kutuma PM.
Back
Top Bottom