Recent content by gullo

  1. G

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tumefungua account nmb tawi la igunga toka mwezi wa tano 2015 (ajira mpya waalimu) mpaka leo wameshindwa kutupa kadi kwa kisingizio mashine mbovu! That is shame
  2. G

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye kujua ada ya jitegemee secondary

    mwanzoni mwa mwaka ilikua 720,000 kwa sasa itakua imepanda kidogo kama laki nane naaa sina hakika. ni shule yenye mikakati bora ya kufaulisha vijana haswa ukiwa na malengo ya kutoka.
  3. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anayetaka tubadilishane,kutoka KILIMANJARO, aende TABORA(IGUNGA ) tuwasiliane 0783814611
  4. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ajira mpya, mwalimu anayetaka tubadilishane vituo idara ya sekondari sayansi, aende TABORA(IGUNGA), niende KILIMANJARO wilaya yoyote anipigie 0783814611
  5. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Lushoto shule gani? Tubadilishane nenda tabora (igunga)_misana
  6. G

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwalim yeyote anayehitaji kubadilishana kituo, niende kilimanjaro, aende tabora (igunga) idara ya sekondari sayansi, anipigie 0783814611
  7. G

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya sekondari yoyote nzuri ya Advance

    jitegemee jkt secondary school, ada laki 7.2, ina waalim wa kutosha, ipo vzuri matokeo ya advance yaliyopita div i 50,
  8. G

    JamiiForums Tanzania Shule ipi ya A-level yenye ada nafuu?

    Jitegemee JKT Sec, ada yake nafuu, na inawaalim wengi wa kutosha.
Back
Top Bottom