Ukiangalia Yanga unagundua hizi timu zinafanana kila kitu inapokuja mpira wa ndani.
Ila ukisema ni mashindano ya CAF yule Mzee Kapombe anakuwa Under 20 vile anaupiga kama ndio kapandishwa leo toka timu ya Vijana anagombea namba na Kina Mwenda!
Huyu ni msemaji wa Klabu kongwe Tanzania,iliyozaliwa kutoka Kwa Watani zao wa Jadi..kiukweli mimi sijui elimu yake nasema ninachokiona na kuishi
Nina mambo mawili au Matatu kumhusu Manara
*Wasomi wanaona wivu kwa kipaji chake
*Afisa Masoko aliyeshinda wasomi wengi
Kuinadi simba hapa wenye...
Mimi natoa pole kwa familia waliokutwa na Misiba hii tunajua Haijawahi kuzoeleka.Kifo ni kigumu Hakina Maandalizi Apangalo Mola ni Lake.
Ila kuna cha kujifunza Kizazi cha Leo Hatuna UADILIFU tunatamani visivyo vyetu
Ajali imetokea watu wanaiba Mafuta Badala ya Kuokoa waathirika,
Familia kama...
Taja bila kuonea mtu ili tukomeshe hii tabia
Tafadhali usimtaje asiye na hatiaikibidi thibitisha tuataka Tanzania safi
Nimelenga watangazaji wa,vipindi vya miziki bongo land
Ni kweli Matajiri kama Majizo wa Efm,Kusaga Clouds fm,Mo dewji,Bakhresa na wengineo ambao sijawataja walianza na njia za ubaya kwa kudhulumu haki na hatimaye kufanikiwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.