Habari Wakuu,
Kwa yeyote anayehitaji mirunda, mbao, marine boards, n.k. vinapatikana. Vifaa vimetumika mara moja na viko katika hali nzuri,. Vifaa viko Kimara, Dar Es Salaam.
Mchanganuo:
Marine boards (cut pieces)
Mirunda zaidi ya 200, @sh 2,500/-
Mbao size 2'' x 4'' (nzima na vipande), zaidi...