Recent content by GuDume

  1. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Mtu unayemsaidia kodi si unamwona tu anavyojibiidisha? Nakuambia anaamka hata kusaidia kazi yoyote ya kiume hawezi. Hakuna anachofanya. Ni kupoteza tu pesa.
  2. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Naona na wewe unafanana na dada yako. Usiumie. Njoo uchukue nafasi yake. Usiteseke na unaonekana una roho nzuri utamsaidia dadayo asiwe anachoka. Mtanga wewe unajilegeza kwangu na dadayo afanyeje sasa? Njoo ukae uchukue nafasi yake.
  3. GuDume

  4. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Hakuna mwanaume hapo. Hakuna mwanaume anakaa kwa mwanaume mume wa dada yake miaka miwili mpaka anaota kitambi na matako. Na angeendelea ngepeleka posa kwao.
  5. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Hayo makonde unayatwangia wapi na umeshalegea kila sehemu? Unakaa kula kulala umeota maziwa na matako... Ungeona ambacho ngekufanya hata kwenu usingesimulia. Ungekuwa ukikumbuka tu machozi yanakutoka.
  6. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Dogo anacheck movie, mpira na kucheza game asubuhi hadi usiku. Akila anasubiria binti atoe vyombo. Sifugi chawa . Ningemwoa tu kama dada yake. Kisha anataka itisha kikao nyumbani kwangu. Hii midogo ikukwea makambo aiseee....
  7. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Dada njoo nawe nikuoe kama dada yako. Mbona unaumia sana?
  8. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Ndo maana inakuwa mishoga. Na huwa inateteana sana.
  9. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Njoo ukae hapa na dada yako. Maana naye ni mtu wa huko huko Tanga
  10. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Akina Ommy wengi sana humu hawa mabwege. Na wengi wanakuwa mabwabwa.
  11. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Wewe upo smart sana. Vijana wa siku hizi wapuuzi sana. Tena sana. Ndo maana wanakuwa mashoga
  12. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Mimi sikutafutiwa dili na sina dili la kumtafutia mtu. Nimsomeshe udereva ana gari? Yaani kwa kulala na kula nikamsomeshe udereva? Hapana. Mtu mzima nimwambie kazi za kufanya aseme namtesa? Aendelee kukaa.
  13. GuDume

    Tusilee ujinga, nilipogundua hii dawa akaondoka mwenyewe na hana hamu tena

    Hata sihitaji kuijua kesho. Wewe unayeijua unataka ukakae kwa shemeji yako. Mnaolewa wote. Nimeoa mtu mmoja sijaoa wote. Mtoto wa kiume unataka alelewe? Kwa wewe mwanamke angalau unaweza lelewa si unakuwa unamsaidia dada yako. Nawe inatakiwa uolewe nyie watanga mna shida sana.
Back
Top Bottom