Kazi bora hufanywa na mafundi bora.Tunajivunia kwa ubora wa kazi zetu kwa wateja wote tuliofanya nao kazi na hii ni moja ya sifa inayotufanya tuzidi kufanya bora zaidi.
Tunafanya kazi zifuatazo;
1.Electric fence
2.Intruder alarm
3.Intercom
4.Automative gate moter
5.Cctv camera
6.Video Door Bell...
Binafsi ukija na marafiki zako nakuomba tuonane siku nyingine kwa leo nina dharura baada ya hapo nitakuchana kwenye simu....usawa huu vyuma kukaza unakuja na timu ya kazi gani?
Jana kuna kipusa kimoja kilikuwa moto sana kinataka 25 atoe mzigo nikawaza sana hivi 25 kirahisi tu wakat raha tunapata wote,nikampotezea bhasi akatuma sms iliyosema "unajifanya mwongo sana ww" sikujibu kitu.
Wanachofanya Tanesco ni kwamba ikiwa upo ndani ya mita 30 hakuna uhitaji wa nguzo kama miundo mbinu ya umeme ipo,kuhusu muda uliokaa kuwa ni mwezi wao huhesabu kwa siku za kazi tu ikiwa kuna sikukuu na wikiendi wao hawazihesabu kabisa.
Ukweli uko hvi;
Kama umempenda huna budi kuwa nae lkn tegemea kulea mama na mtoto effectively licha kuwa aliyezaa nae muda wowote akihitaji kuonana nae bhasi uwezekano utakuwepo endapo mwanamke akiridhia hvyo.Fikiria ipasavyo then chukua maamuzi sahihi usije jilaumu badae.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.