Recent content by Guatanam

  1. Guatanam

    JamiiForums Tanzania Je, ni namna gani nzuri ya kufanya meditation?

    Meditation ni nguzo muhimu sana katika maisha ambayo haizingatiwi, je ni namna gani nzuri ya kufanya meditation?
  2. Guatanam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kutamani kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake

    Hahah mzee wa selfie
  3. Guatanam

    JamiiForums Tanzania Huwa mnatumia mbinu gani kukwepa vibomu?

    Morogoro
  4. Guatanam

    JamiiForums Tanzania Huwa mnatumia mbinu gani kukwepa vibomu?

    Kusaidia watu sometimes ni kitu kizuri hasa ndugu, na rafiki wa karibu, ila inakua ngumu sana kusaidia kila anayekuomba pesa,kitu au kukopesha kila anayekopa. Nimekua nakabiliwa na kuombwa pesa mara kwa mara kwa watu mbali mbali, yani karibu kila rafiki nnayekua naye lazima atataka aazimwe...
  5. Guatanam

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kusimamia biashara yako iliyo mbali na wewe?

    Habari wana JF, Naomba ushauri ni teknolojia gani naweza kutumia kwenye biashara yangu, hususani duka, ili kudhibiti uendeshaji na Maputo kiujumla, ikiwa nipo mbali na hiyo biashara siwezi kutembelea mara kwa mara.
Back
Top Bottom