My dear hakuna anayeumia kwa maendeleo ya mtu ukweli ndio huo Kama mlivyozugwa kwenye mjengo WA wasafi TV na bi mkubwa alisema kigoma hatoki boy sasa akili kichwani mwako. Zari baada ya kuona kapigwa chini ndio akatangaza rasmi na ua jeusi hapo ni baada ya kisa mkasa. Sasa Kama unabwana hana...
Anauaminifu gani!? Hivi unajua D kwa nini kamuacha Zari? Bibie alicheat hakujua Kama mondi ataipata hiyo habari Zari alicheat na Daudi Kanyau kwa wanaomjua wanajua shughuli yake hapa bongo ilikuwa nini. Sikuhizi kanyau kahamia SA anahela mbaya na bibie ndio zake kama unakisu kikali unakula...
Wenzie wa IMMA walishamtosa zamani akachukua Shea yake na kudai anamfungulia mwanae wa kwanza ofisi. Siku hizi kazi kushinda Cruz in mikocheni analewa tu ukifika pale saa 5 asubuhi utamkuta keshalewa long time. Hiyo tabia ilianza baada ya kupigwa chini ubunge wenzie walivumilia mwishowe...
Kuna funds alikuwa anamuombea kwa wazungu fulani wa mining na aliandika atakuja Kuwa waziri wa madini baadae, Hii kabla hajajulikana kisiasa . Ni ya muda mrefu lakini ndio iliyoanzisha zogo lao maana bi shost hana kifua cha mbele wala cha nyuma hajui kumeza ye anatema tu ndio maana group...
Hiyo issue ya kunuka uchi hata mie niliisikia kuna mtu alisema yule dada zinati aliwaambia baada ya kurudi bongo baba kenzo alikuwa akilalamika shostito uchi unapwita mnuko.
Umeona eeeh, anafikiri kuweka contact za waume za watu ni kuwakomoa yeleuwii akutanane na mume kama wangu full jeuri na hana time ya maujinga atamdharauje sasa.
Umeona eeeh, anafikiri kuweka contact za waume za watu ni kuwakomoa yeleuwii akutanane na mume kama wangu full jeuri na hana time ya maujinga atamdharauje sasa.
Na yeye Mwenyewe gorila maana baba yake na mama yake wote ni weusi kwa hiyo mange naye gorila. Mbwa huyu anaabudu sana wazungu kiukweli ameishiwa swaga za kutukana kabaki kurudia rudia matusi yale yale kila page from ya Linda, Mbutananga, Viola na mwanamkekujiamini.
Kwa mzungu naona hela kidogo imekuwa ya manati ndio maana anaweweseka na michepuko, hivi mpaka leo hii umeolewa na mume asikuweke Kwenye joint account yake tena mume Mwenyewe mzungu why? Akiendaga mashoping huko eti leo baba kenzo kanipa card yake nitumie special treatment uwii hapo ndipo...
Mama yake mzazi alifariki mange akiwa mtu mzima anajitambua, tena alikuwa Dubai huko Kwenye seke seke la uchangu na kazi. Kwahiyo Picha za mama yake atakuwa nazo tu kwani yeye ndio mkubwa kwa upande wa mama yake na anawadogo zako huko, hata siku moja aliweka Kwenye blog yake issue ya kumsaidi...
Mdau Umeona eeeh, mungu SIO mjomba wa mtu utamtukanaje mwenzio tasa? Wewe mwenye watoto unaweza pata balaa la ajabu na ukashangaa miujiza ya mungu. Nina mfano hai wa mama yangu mdogo alikuwa akimtukana wifi yake tasa kwa kua hana watoto na yeye alikuwa na watoto watano. Hao watoto ni wakubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.