Recent content by GSDR

  1. G

    Ikitokea ukapewa fursa ya kukutana na wewe mwenyewe wa miaka 10 nyuma. Je, utajishauri nini?

    Mimi binafsi, ningejishauri yafuatayo 1. Kusoma had chuo kikuu ni muhimu ila muhimu ni kuwa na hela kwanza. 2. Maisha ni kutafta cha kwangu sio kutegemea cha mtu 3. Ubahili kwenye suala la pesa ni siri ya kuwa na uhuru wa fedha
  2. G

    SoC04 Matumizi ya teknolojia katika elimu

    Dunia ya sasa ipo katika MAPINDUZI makubwa sana ya Teknolojia na hii imepelekea karibia KILA kitu SASA kinafanywa KWA Teknolojia kubwa bila kujarisha ni sekta gani. Nina tarajia na kuzishauri mamlaka zinazohusiana na ELIMU kujikita katika matumizi ya Teknolojia kama njenzo muhimu katika kutoa...
Back
Top Bottom