Recent content by grwangobe

  1. G

    JamiiForums Tanzania Lipumba: Tunaunga mkono maamuzi ya CHADEMA dhidi ya Zitto

    Km unamfahamu vizuri yuda iskariot kitabia huwezi kumtetea zitto kwa vituko vya kwa matakwa ya ccm ndani ya chadema
  2. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kutoa mchumi Roderick Lutembeka, Kumrithi Prof. Tibaijuka

    Wenda mie nikarudi kwetu muleba ili nijiandikishe huko niweze kuchagua mtambo huu.
  3. G

    JamiiForums Tanzania TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Asante sana baba askofu kwa ushauri wako mzuri
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyoanguka usiku wa Kuamkia Leo Mjini Tanga Abiria lakini Wamepona (Wachawi)

    Ilikosea njia ilipita sehemu iliyo imara kwa kusimamiwa na malaika wa bwana
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Duuh watu wengine bhana km hujui kitu kaa kimnya.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Makonda ndani ya Power Breakfast Clouds FM

    Ni vigumu kupoteza muda kusikiliza mtu aliyempiga mzee wetu warioba
  7. G

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Kweli makonda DC ni kichekesho kwa taifa letu na ni fedheha ulimwenguni kote.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa wana tuhuma nzito za ufisadi wa Website ya CHADEMA

    Heading na maelezo haviendani kabisa
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara amdhulumu mwenzie kwa kumuua na kumzika Ilala Sharrif Shamba!

    Ni ujinga mtupu km mungu hajapanga upate huwezi kupata utaishia na aibu tupu na kuachia kizazi chako mikosi milele.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Swissleaks: Watanzania 99 wameweka kiasi cha $114m Uswizi

    Wote walioimba kodi zetu warudishe.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe Hata Wakristo Wana Mahakama Zao?

    Wanayo lakini siyo ya kupeleka bungeni ipitishwe na bunge km mahakama ya kadhi.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Hata wangu hawawezi kusoma shule za kayumba.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tumezuia maandamano ya CUF kutokana na silaha zilizoibiwa Ikwiriri Rufiji

    Sasa haya majibu ni ya kivuvuzela na kimbulula pia ni aibu kwa jeshi hili utadhani hakuna wasomi
  14. G

    JamiiForums Tanzania Vurugu bungeni zasababisha Bunge kuahirishwa asubuhi hii

    Duhh hii nchi inaenda wapi?
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Hoston-Texas atiwa hatiani kwa ubadhilifu wa Kodi

    Tusishangae huo ni ukoo wa panya lzm wote wawe wezi.
Back
Top Bottom