Hii mbinu inatumika sana hapaTanganyika hata Mwalimu alikua anatumia hii. Mzanzibari yeyote anapotetea hoja ya msingi inayohusu Zanzibar anangaliwa nasaba yake kuwa yeye sio Mzanzibari halisi. Mh Mkuya ameongea jambo la msingi lenye umuhimu. Yupo hapo kwa ajili ya Zanzibar na singinevyo. Ujue...
Kwa mawazo yangu huru utaratibu mzima sio sahihi na umejaa mashaka. Tatizo kubwa watanzania wengi uwezo wetu wa kufikiri ni karibu ya zero. Na hii ni pamoja na wenye elimu pia. Vyuo vyetu vya elimu vinatia shaka uwezo wake wakuelimisha. Matokeo ni kudanganywa na kuibiwa na wana siasa bila...
Umenifurhisha. Kweli watanganyika uwezo wa kufiiri uko ndani ya sanduku. Hautoki zaidiya humo ndani. unataka kutwambia nchi zote zilizojitenga kutoka soviet ni mahaini, yugoslavia na nyengine za mashariki ya ulaya ni mahaini. Nakuomba ujifunze kufikiri vizuri.
Tukubali kuwa wakati umepita. Niwajibu wetu tubadilike, na siasa za mapanga na marungu kuwa zimeshapitwa na wakati. Sisi ni watu wamoja na shabaha yetu ni moja. Tunataka watu wetu wawe na maisha mazuri pamoja na utulivu.
Sizani kama wazanzibari wana mapenzi sana na mwalim Seif. Wazanzibari wamekomaa kisiasa na ni magwiji wa siasa hapa Tanzania. wanao uwezo wa kukisimamia wanachokiamini. Nimiaka mingi tangu mwaka 1957 kwenye chaguzi. Wanajua kuwa vyama vingi sio uadui. Chama cha upinzani ni muhimu na ni mbadala...
Kweli gharama, lakini unapotosha. Huhitaji kununua technology kwa kutengeneza generic drugs. Na ndio maana zikaitwa generic. Kwa mfano Paracetamol, Infusion zote na nyingi nyenginezo zinazoagizwa kutoka india na Kenya. Zenyekufikia karibu asilimia 70
Dawa hazitakiwi ziongezeke tu, bali dawa zote zinazohitajika kituoni zinatakiwa ziwepo. Mgonjwa hatakiwi kufa hospitali. Inakuwa aibu zaidi mgonjwa anapokufa haspitali kwa kukosa Panadol.
Ndugu hiyo serikali inafanya mambo yake kama wao wanavyoona sahihi, lakini mara nyengine wanakuwa hawako sahihi. Mimi sio muumini ninaekubali mawazo ya serikali kufanya biashara. Biashara zifanywe na wananchi. Serikali isimamie, itoe mingozo, ikusanye kodi. Naamini serikali imejingiza kwenye...
Ndugu hivi ni vitu vidogo. Wazanzibari wanatakiwa wadai mambo makubwa na yenye umuhimu, kama mungano na aina gani ya mungano, katiba mpya ambayo italinda maslahi ya wazanzibari na Zanzibar.
Kuhusu gari za kusambazia dawa. gari nne kwa Zanzibar zinatosha na kuchukua siku tano kuweza kumaliza...
Kuwepo Wazanzibari wengi kwenye kile kitengo. Ulikuwa ni mpango malum ambao Mzee Ruksa aliuubuni kwa mazumuni ya kuhakikisha wazanzibari wengi wapate elimu zao za juu kwenye nchi za ulaya magharibi na marekani ( ilionekana wazanzibari wengi walikuwa wanaishia mlimani na nchi za kijamaa) na kwa...
Hizi ni propaganda za kuwapaka tope warusi. Inawezekana kabisa waingereza au marafiki zao ndio waliompa sumu Sergei na binti wake. Kama warusi walihitajikumua mbona waliwahi kumkamata na kumshitaki, siwangemhukumu kifo wakamaliza nae. Kuna watu na jumuia zinataka kuona vita kati ya neto na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.