Recent content by grOg

  1. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gharama mpya ambazo Aga Khan wanataka walipwe kwa wateja wa NHIF ni kuhujumu nchi. Haikubaliki

    Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Makato ya Bima ya Afya NHIF ni lazima sasa kwanini kuwalazimisha wanachama hospitali za umma zisizo na Dawa?

    Acha uchonganishi Mfuko haujazuia wala kulazimisha chochote vituo vyote vinatoa huduma kama kawaida
  3. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy amepwaya kwenye nafasi yake

    Mnajizima data eeh kuwa bila NHIF hakuna vituo hasa vya binafsi vyote vinategemea mapato nhif na ndio maana mnaipiga vita nhif kwa kusimamia taratibu zake. Waacheni wafanye kazi yao
  4. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy amepwaya kwenye nafasi yake

    Taratibu kwenye huduma lazima zifuatwe bila kujali ulipo naamini hao NHIF wana njia nyingi za mawasiliano na sio lazima kwenda usichafue taasisi kwa uzembe wako kufuata maagizo
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

    Acha majungu lete hoja
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

    Mbona watoto wengine wanaendelea kujiunga kwa kufuata utaratibu uliopo? Zingatia taratibu Inazowekwa
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

    Utaratibu umeshatolewa fuateni taratibu acheni majungu
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

    Acha chuki binafdi Konga Hawaii kujiamulia hiyo ni Taasisi inafanya kazi kwa sheria, taratibu na miongozo. Kumuongelea yeye ni kumuonea acha chuki
  9. G

    JamiiForums Tanzania KERO Responded NHIF imeikosesha nchi utawala wa sheria

    Mbona hueleweki sasa na maelezo yako marefu haya? Kosa la NHIF hapo ni lipi? Hakuna Hospitali inayoweza kudharau NHIF usitudanganye, hakuna Hospitali inayoweza kujiendesha kwa wagonjwa wa cash, kama una bifu na NHIF weka wazi usituchoshe sisi
  10. G

    JamiiForums Tanzania Magari ya viongozi wa Serikali na afya za wananchi wa Tanzania kipi muhimu?

    Acheni roho mbaya na NHIF, lazima tukubali kuwa Mfuko huu umefanya kazi kubwa sana kuna marefu ya wagonjwa wako huko hospitalini na matibabu yao ni ya maisha yote na NHIF inalipa. Leo kuboresha usajili wa toto ndio Mfuko umekuwa mbaya kiasi cha kuwafanya Watanzania wote wajiite maskini? Watu...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya, mnachokifanya mnajua madhara yake?

    Tuache kuibua mambo ambayo hayapo, uhakiki ni utaratibu tu katika huduma nyingi
  12. G

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya, mnachokifanya mnajua madhara yake?

    Ukipoteza kadi kuna utaratibu wake mfano unapopoteza kadi ya banki mbona hauji hapa kulalamika ebu tuacheni njia za mkato tufuateni utaratibu uliowekwa, NHIF ni taasisi kama ilivyo nyingine
  13. G

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya, mnachokifanya mnajua madhara yake?

    Uhakiki Uhakiki sio suala gani hapa nchini Taasisi nyingi zimekuwa zikifanya uhakiki katika maeneo yake hivyo kama hauna tatizo kwa nini uje kulalamika hapa?
  14. G

    JamiiForums Tanzania CAG na waliojikopesha Sh41 bilioni NHIF

    Tuacheni upambe kila taasisi inazo taratibu zake za ufanyaji kazi mikopo ni sehemu ya motisha
  15. G

    JamiiForums Tanzania CAG na waliojikopesha Sh41 bilioni NHIF

    Kwani ni NHIF pekee yake ndio inajikopesha? Au mna agenda binafsi, nendeni Kwingine pia muone mikopo inavyotolewa na mikopo hiyo mbona ina riba? Au hilo hamlioni?
Back
Top Bottom