Recent content by Grevilea robusta

  1. Grevilea robusta

    Natafuta kazi; nina shahada ya Sayansi ya misitu

    Wapendwa kwamba hakuna wakunisaidia kabisa.
  2. Grevilea robusta

    UKIMWI unavyotafuna vijana

    duu! una moyo wa kijasiri sana
  3. Grevilea robusta

    Natafuta kazi; nina shahada ya Sayansi ya misitu

    Amani iwe nanyi,poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa kike ninaleta ombi langu hapa jukwaani,nina uhitaji wa kazi ,elimu yangu ni degree holder katika sayansi ya misitu(Bachelor of science in forestry) Kwasasa nina patikana Dar-es-salaam. Sina uzoefu wowote juu ya fani hiyo lakini nina ujuzi...
Back
Top Bottom