Recent content by greenstar

  1. G

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Lisemwalo lipo hata kama si 100%,watu wanaweza tia chumvi kunogesha kashfa but ndg.Mkono unasubiri nini kujivua GAMBA kama ROSTAM? au ufanye Press Conference ufafanue huu mgao wa pesa kwa Mbowe na ZZK ulikuwa wa nini? Je ,anafaa kuendelea kuwa mwana CCM? Nawakilisha !
  2. G

    Ukiona mwanasiasa anakupa siku 14,90,au miezi 6 ujue ni VITISHO TU

    Mara nyingi nimezoea kusikia nakupa siku3,14 nk ...kama kitisho kwa muhusika akiri kosa au aombe msamaha Kwa hiyo basi tusishange siku14 za ZZK kuwajibika,siku90 za Mangula kuwafukuza mafisadi na wala rushwa,hata katiba mashakani... Lazima uwe mwanasiasa kuahidi vitu ambavyo havitekelezeki ...
  3. G

    Steven Wassira atahadharisha wasomi

    Mtu anayelisha watu sumu ni mchawi a.k.a witchcraft,... At youngest age u dare to kill ur friend just for political favor? Shameless u idiot ...
  4. G

    Mengi: Prof. Muhongo ni muongo

    Mengi ni mlafi wa kupindukia,he is next to Rostam for his worthness but still exploiting his employees and not paying their salaries at regular and right time !....analilia uzawa?....nashangaa hata CCM bado hawajamfukuza uanachama coz jamaa anafitina balaa,aligombana na Adam Malima sasa kahamia...
  5. G

    Mh.Zitto abaki CHADEMA lakini Mbowe na Lissu wafukuzwe CHADEMA ili demokrasia ifanye kazi

    Bila CCM hakuna CHADEMA ,but CCM can stand still without CHADEMA......ogopa kiongozi anayekubalika pande zote ,huyo ndiyo kiongozi mwenye ushawishi pia mzalendo wa kwali !Hatutaki warusha ngumi na vitofari wataiabisha TANZANIA yetu katika nyanja za kimataifa.......
  6. G

    Mh.Zitto abaki CHADEMA lakini Mbowe na Lissu wafukuzwe CHADEMA ili demokrasia ifanye kazi

    Mbowe siyo mfalme.....lazima atoke ili CDM iwe ya Watanzania.
  7. G

    Mh.Zitto abaki CHADEMA lakini Mbowe na Lissu wafukuzwe CHADEMA ili demokrasia ifanye kazi

    Napenda kuwasilisha maoni kwa wapenzi na wanachama halisi wa CHADEMA kuhakikisha MBOWE na LISSU wanatimuliwa mara moja ndani ya CHADEMA ili kuondoa u-dictator ndani ya chama.Yakifanyika hayo basi chama kitapona laana ya ubaguzi na ukabila.....hapo hata wana CCM wataendelea kuwapigia kura wabunge...
  8. G

    WAASI wa M23 waliokimbilia UGANDA wajisalimishe TANZANIA ilikuhakikisha hawatarudi TENA !!

    Kwanza kabisa napenda kuwapongenza wanajeshi wa CONGO kwa kazi nzuri chini ya kikosi maalum cha SADEC.... Rai yangu,hao akina Col.Sultani Makenge wajisalimishe TANZANIA ili kuhakikisha hakuna janja ya NYANI ya kurudi msituni. RWANDA na UGANDA haziwezi kuwabana hawa waasi,wanaweza rudi tena na...
  9. G

    Kinachoendelea CHADEMA Mitandaoni: Je, ni Ushujaa wa Mhe. Lema au ni Udhaifu wa "Kule Juu"?

    Masikini Mbowe na Slaa kwa udhaifu wa kukiendesha chama chetu hadi vichaa wanakuwa maarufu ndani ya CHADEMA kuliko hata viongozi wa kuu,kuna laana kubwa ndani ya CHADEMA ambayo ni mbaya kuliko hata RUSHWA na UFISADI(ubaguzi ni laana mbaya sana)Ubaguzi unaweza kuua na kusababisha mapigano ya sisi...
  10. G

    CHADEMA na kichaka cha "vikao halali vya chama"

    Nilidhani CDM ni chama makini kumbe ni dhaifu kuliko hata chama cha SAU.....wanaogopana wao kwa wao tena hata kiongozi wa mkoa anawatoa Jasho kwa hoja nzito hadi mnaanda umafia kama wa gaidi mkuu Lwakatare? Watanzania wameshatambua janja ya cdm kufanya fujo kwani sasa ni dhahiri laana ya kuua...
  11. G

    Yadhihirika: CCM ndicho Chama kinachopendwa zaidi na wasomi

    Sielewi kabisa hizi propaganda za kitoto eti CCM haipendwi na WASOMI....mara haipendwi na VIJANA kesho watasema haipendwi na WANAWAKE baadaye hata WAZEE Kweli hao ni WAFA MAJI TUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU Hakuna President Material kutoka upinzani zaidi ya ZZK the rest Mamong'ooooooooooooooooooo...
  12. G

    Nape na kundi lake kumtoa KAFARA Lowassa,CHADEMA tusikubali kunasa ktk Mtego huu!!

    Unamkana mwenzako? hii ni balaa kusema ccm yote ni mafisadi coz 70% ya Watanzania ni ccm japo wengine huwapigia kura wa pinzania ,sasa ni muda muafaka wakuwanyima kura zetu ili waumbuke milele.Ukweli ni viongozi wenye maadili wanapendwa na watanzania wote haijalishi yupo chama gani.
  13. G

    Dr.Mwakyembe hachafuliwi kwa Propaganda za kambi ya mafisadi

    MUNGU ataonyesha njia ya USHINDI kwake kwani WATANZANIA wanamuombea kwa nguvu zote ! JAMAA hana UDINI wala UKABILA wa ITIKADI za UNAFIKI ndiyo MAANA hata CCM wanamheshimu kwa kazi NZURI SIYO longo longo ya WOGA ati mara na ORODHA ya MAFISADI au KUFICHA PESA USWISWI... MWANAUME ni YULE JASIRI wa...
  14. G

    CHADEMA ni kivuli cha mafisadi,wakihamia huko ndipo mtajua

    wewe "chambuzi" hujaona cha kuchangia?
  15. G

    Connect Dots: Jambo Leo Liliandika "Maisha ya Mwakyembe Hatarini"... Pinto aliwasindikiza Airport!

    kweli huyu ni MAFIA,tutamfanyia kazi ajue kuna kazi nyingine za kufanya...lazima akanyooshwe SEGEREA au KEKO hakuna kutoka MAISHA na ndugu zake wajiandae kama wamo kwenye hili game
Back
Top Bottom