Recent content by GreenLight

  1. GreenLight

    Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

    Wasidange..? 😁😁😁 graduates wanadanga sana naa wakiume wanapenda mishangaz
  2. GreenLight

    Serikali iache kunyanyasa watumishi, Mfumo wa PEPMIS hauna uhusiano na mshahara wa Mtumishi alioufanyia kazi mwezi mzima

    Na kuongezea tu. Hela za bando wamewapa watumishi ..? Swali lingine wakumbusheni kuwa kuna watumishi wamehama kutoka halimashauri moja kwenda nyingine huku mishahara yao haijaweza kuhamishwa mpaka sasa hivi. Hao nao wasipo jisajili kwenye huu mfumo mtawakata mshahara wao. .? Hili taifa...
  3. GreenLight

    Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

    Wanaibaje hawa wasio ajiriwa. Wezi ni hao wasomi wazamani ndio mafisadi wqkubwa kuanzia wabunge, mpka wasimamizi wa miradi yote. Vijana hawa husiki usiwasingizie
  4. GreenLight

    Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

    Kuna mmoja napo ishi kasomea geology sasa anaona yeye kama kawin ndio kaja mtaan na mzoom tu na vitaqo vyae. Mambo ni magumu tuwaambie kabsa
  5. GreenLight

    PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Aliokua anawateua wana sifa..? Wale aliowapa udc urc nk mafia wenzake. Ana watumbua afu bado anawalipa.🤣🤣🤣🤣 Magu alijuq kucheza na saikolojia ya watz wachini maana anajua maskn tuna penda kusikia tajiri anapata shida. Bila kujihurumia kuwa sisi ndio tutakao umia
  6. GreenLight

    PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    🤣🤣🤣🤣 Huyo huyo. Dikiteta, mtekaji, mfilisi mbinafsi, mjuaji, mkabila, mkanda nk. Hapana mkuuu
  7. GreenLight

    PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Kwa sababu za kiuchumi, kisiasa, kijamii na kitechnolojia.
  8. GreenLight

    PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Magu huyo huyo 🤣🤣🤣🤣
  9. GreenLight

    PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Anae mlilia magu ni mtu aliekosa uelewa wa mambo ya kiutawala.
  10. GreenLight

    PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Sawa. Katika viongozi wa hovyo kuwa kutokea tz magu ni wa pili wa kwanza yule kutoka huko huko kanda yao
  11. GreenLight

    Huwa siwaamini kabisa wanawake wanaovaa madela na vijora

    Hahah kumbe sema UTI na mengine makubwa sasa
  12. GreenLight

    Huwa siwaamini kabisa wanawake wanaovaa madela na vijora

    Sasa hilo yebo yebo si la mtoto kabsa wa miaka 9
  13. GreenLight

    PreGE2025 Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Kwani kuna ambae ni mwema..? Umeme kwa mataifa ya afrika mashariki ni inchi gani umeme haukatiki..? Huna hoja za mashiko bali una mihemko
Back
Top Bottom