Recent content by GreenHouse

  1. GreenHouse

    Nahitaji ngano au shairi asap

    Nimeshapata. Thread closed
  2. GreenHouse

    Nahitaji ngano au shairi asap

    Wadau ninahitaji ngano au shairi iliyovunwa haraka iwezekanavyo. Kiwango ni Tani 30 kwa kuanzia. Iwe ngano au shairi safi na nzuri yenye kukidhi viwango vya kimataifa. Isiwe imetobolewa na wadudu au imeharibika kwani itamwagwa yote na kupakiwa upya ili kukaguliwa kabla ya muuzaji kuuza. Kwahiyo...
  3. GreenHouse

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Ni kweli kabisa kwamba kilimo cha greenhouse sio rahisi hata kidogo, nimeshasema kwenye huu uzi mara nyingi sana na kwenye TV pia, na wale wote waliokuja kuonana na mimi watashuhudia haya. Kama ukitembelea website yetu utaona majibu niliyotoa kuhusu urahisi na ugumu wa ukulima wa namna hii...
  4. GreenHouse

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Baba D, 1/8 of an acre niliyozungumza hapo sio 120 square meter ni ukubwa wa drip lines ambazo ningesupply katika material ya ujenzi wa Greenhouse ya 8*15, yaani yangetosha kumwagilia ndani ya gh na nje kwa mita za mraba zisizopungua 380. Hivyo kucover 1/8th of an acre. Nadhani umenielewa sasa...
  5. GreenHouse

    Genuine Giorgio Armani Aviator Shades

    Brand New Giorgio Armani Aviator shades for sale:- Price is 500,000 Tshs Comes with original box, case, soft pocket and instruction manual. Call 0714881500. Location:- Dar es salaam. Whatsapp for images.
  6. GreenHouse

    Ushindi wa Mayweather utata

    Hivi ndio pacman alivyopigwa. Tuache ushabiki bila kuangalia ukweli. Mayweather amepiga ngumi nyingi sana za wazi usoni mwa pacman, pacman amepiga ngumi nyingi mwilini kwa mwenzie, japo mayweather hakupiga power punch za kuweza kumuangamiza pacman lakini nyingi zimetua sehemu ambayo...
  7. GreenHouse

    Masikio yanawasha sana jamani msaada tafadhali

    Weka olive oil matone mawili kila siku asubuhi na jioni. Ukiweka kwa wiki mbili tatizo litaisha. Au nenda pharmacy nunua Sweet Oil wela matone mawili. Unapoweka mafuta hakikisha yameingia mpaka ndani kabisa ya sikio. Angalizo: yanatekenya
  8. GreenHouse

    Nauza Toyota Progress Mil 6 Tu

    Asante ndugu
  9. GreenHouse

    Nauza Toyota Progress Mil 6 Tu

    Gari Imeshauzwa wadau. Thread closed
  10. GreenHouse

    Nauza Toyota Progress Mil 6 Tu

    Aah kumbe ni wewe eeh? Mil 3 ni hela lakini hainunui Progress boss. Angalia uwezekano wa TVS King used.
  11. GreenHouse

    Nauza Toyota Progress Mil 6 Tu

    Jamani tunatofautiana sana matumizi ya magari, vipato na safari kwa wiki. Naomba tu niconfirm matumizi ya mafuta ya gari hii. Ukiweka elfu 20 taa inawaka na ukifanya mchezo gari itazima. Haitaki mafuta ya vituo vinavyochakachua kwahiyo hakikisha unaweka engen, total, bp au oilcom tena za maeneo...
  12. GreenHouse

    Nauza Toyota Progress Mil 6 Tu

    *****GARI IMESHAUZWA***** Toyota Progress ya mwaka 2001 inauzwa shilingi Million 6 tu. Automatic 2500 cc Imeshatembea 78500Km tu Ipo nchini tangu 2010 Bado iko katika hali nzuri sana, engine na kila kitu kipo intact. *****GARI IMESHAUZWA****** Karibuni
  13. GreenHouse

    Mitsubishi double cab pickup inauzwa bei chee

    Dah, kiongozi mi nauza kwa pesa taslimu. Siwezi kubadilishana. Weka picha hapa, huenda wadau wengine wanaohitaji wakavutiwa.
  14. GreenHouse

    Mitsubishi double cab pickup inauzwa bei chee

    Ni kweli na inatumia mafuta kidogo sana, huwa naenda arusha kwa tank moja la mafuta na yanabaki kidogo. Tank ni lita 59 hv.
Back
Top Bottom