Recent content by Greedykenyan16

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rosemary John (Oldest Prostitute): I have slept with 5,000 men!

    Mimi ni Mkenya. Gaze tu la Nairobian sio gaze to la kuaminika, they make up stories ili sap ate mauzo
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakenya huwachukia sana Watanzania?

    Mbona hatuna tatizo Lolote na waTZ? Tukikutana nanyi tunapenda kusikiliza Kiswahili chenu sana. Usiamini propaganda zinazoenezwa na ruling class.
  3. G

    JamiiForums Tanzania TCRA mtusaidie, SBT Japan wamekuwa kero!

    Hata huku Nairobi Hao SBT wanatusumbua sana. Simu kina kukicha, nimechoka kuwaeleza mimi sifanyi biashara ya kununua na kuuza magari kwa hivyo itakuwaje nihitaji gari kila siku.
Back
Top Bottom