Kwanini Wakenya huwachukia sana Watanzania?

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,726
12,003
Salaam,
Hapan'shaka mu buheri...

Kutokana na kula chumvi nyingi na kushuhudia mengi kwa hawa jirani zetu,nimeona vyema nimu ulizeni ninyi,swali hili.

NI kwanini wananchi wa Jamhuri ya Kenya huwachukia sana,toka rohoni mwao..watu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania?

Nini chanzo mpaka kufikia wabongo wengi ku uwawa huko Kenya?,hili jambo limeanza toka enzi kabla ya nchi hizi kuwa Huru.

NI lini uhasama huu utakwisha?
 
Mbona hata Wachaga wanachukiwa sana hujasema
Tuache chuki za namna hiyo,hii ni hali ya kibinaadam na yakawaida,huwezi ku generalize namnahiyo.

Kuna Post humu zikitaja mchaga tu basi watu wanajua Jambazi au tapeli.
Suala la wakenya ni kwamba tunautofauti sana kwenye utendaji kazi na Elim yenye uhalisia.Sasa hapa kwetu unakuta mtu ana elim ila hai reflect na uhalisia,sasa hapo ndio tunapoona kwamba wenzetu wanatubagua

Mie nimewahi kufanya kazi chini ya wakenya na pia wahindi,Sasa najua kwamba hawa wote wanavitu vinafanana kwenye majukum ya kikazi.Sasa kwa sie wavivu ndio tunaona kwamba wanatubagua,ila ukweli ni kwamba Sie wengi wetu ni wavivu na kutaka pesa kirahisi bila kufanya kazi kama ulivyosign kwenye mkataba.

Wakenya wanajua kuitafuta pesa na sio pool table tu,na ndio maanaa wanamashamba mpaka kwenye ghorofa ilimradi tu hawaachii fursa yoyote.Wananunua mazao hapa kwetu Bongo na wao kuuza Ulaya huku sie tumelala na Maisha ya Ujanja ujanja na utapeli.
Nawakubali sana Wakenya
 
Tafadhali weka ushahidi wa wabongo waliouliwa huko Kenya!

Hizo chuki unazozunguzia ni zipi, pia ushahidi wa picha/kimazingira ni muhimu sana
Huyu dogo aliuawa Kenya
8844766_orig.jpg
 
Salaam,
Hapan'shaka mu buheri....
Kutokana na kula chumvi nyingi na kushuhudia mengi kwa hawa jirani zetu,nimeona vyema nimu ulizeni ninyi,swali hili.
NI kwa nini wananchi wa Jamhuri ya Kenya huwachukia sana,toka rohoni mwao..watu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Nini chanzo mpaka kufikia wabongo wengi ku uwawa huko Kenya?,hili jambo limeanza toka enzi kabla ya nchi hizi kuwa Huru.
NI lini uhasama huu utakwisha?

Kwasababu ni wavivu na ni wambea

Wanapenda kushinda kwenye mitandao ya kijamii na kunywa pombe

Sio creative
90% hawajui wanachotaka
Kusifiana ujinga
Wasomi kugeukia siasa na usomi wenyewe ni ule wa kwenda shule kukremisha ili waandike mitihani

Kubwa zaidi ni fuata mkumbo aka nyumbu
 
Mbona hata Wachaga wanachukia sana hujasema
Tuache chuki za namna hiyo,hii ni hali ya kibinaadam na yakawaida,huwezi ku generalize namnahiyo.

Kuna Post humu zikitaja mchaga tu basi watu wanajua Jambazi au tapeli.
Suala la wakenya ni kwamba tunautofauti sana kwenye utendaji kazina Elim yenye uhalisia.Sasa hapa kwetu unakuta mtu ana elim ila hai reflect ta uhalisia,sasa hapo ndio tunapoona kwamba wenzetu wanatubagua

Mie nimewahi kufanya kazi chini ya wakenya na pia wahindi,Sasa najua kwamba hawa wote wanavitu vinafanana kwenye majuku ya kikazi.Sasa kwa sie wavivu ndio tunaona kwamba wanatubagua,ila ukweli ni kwamba Sie wengi wetu ni wavivu na kutaka pesa kirahisi bila kufanya kazi kama ulivyosign kwenye mkataba.

Wakenya wanajua kuitafuta pesa na sio pool table tu,na ndio maanaa wanamashamba mpaka kwenye ghorofa ilimradi tu hawaachii fursa yoyote.Wananunua mazao hapa kwetu Bongo na wao kuuza Ulaya huku sie tumelala na Maisha ya Ujanja ujanja na utapeli.
Nawakubali sana Wakenya
Umeeleza vema mkuu..!
 
Kwasababu ni wavivu na ni wambea

Wanapenda kushinda kwenye mitandao ya kijamii na kunywa pombe

Sio creative
90% hawajui wanachotaka
Kusifiana ujinga
Wasomi kugeukia siasa na usomi wenyewe ni ule wa kwenda shule kukremisha ili waandike mitihani

Kubwa zaidi ni fuata mkumbo aka nyumbu
Hahahaha,aisee nimecheka mpaka basi,umepiga za mbavu mkuu
Unajua ukweli unabakia kuwa ukweli aisee,Wakenya wanajituma sana
Na mkenya alieenda shule unaona reflect yake kwenye uhalisia wa utendaji,ila hapa unakuta mtu ana Masters lakini duhhh,aibu tupu
 
Ulitaka watupende wao wazazi wetu,c wakimbizi tu hao.wao wenyewe kwao kila cku figisu figisu atakupenda saa ngapi?we tupendene sisi kwa sis basi.
Hata hao wanaotukana waTanzania na kusema wakenya ni bora,si wawe wakenya tu ..watuachie Bongo yetu..sio wazalendo
 
Wakenya wenyewe hawapendani...wenyewe wanauwana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu mbalimbali...we mtanzania ni nani mpaka akupende?
 
Mbona hatuna tatizo Lolote na waTZ? Tukikutana nanyi tunapenda kusikiliza Kiswahili chenu sana. Usiamini propaganda zinazoenezwa na ruling class.
 
Back
Top Bottom