Recent content by GreatSeal

  1. GreatSeal

    Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

    Walijipanga muda saana, alaf pia walimtaim Putin manake alikuwa busy na Ukrain ali
  2. GreatSeal

    Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Trump kweli anaweza shauri hili ni mtu jasori
  3. GreatSeal

    China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

    Wewe jamaa ndio huelew, mwenzako kacheza karata kali sana hapo kama ww2 tuu alikuwa kimya kaz yake kuuza silaha na chakula, ona sasa hiv jins kamsogezea russia mfupa ukrain anabanana nao, yy anauza silaha ametulia kwake, middle east yeye katulia anauza silaha soon utasikia china kabanana na...
  4. GreatSeal

    Utabiri: Huenda siku za Putin zinakaribia ukingoni

    Kitu ambacho mnajidanganya ni hiki: Russia hana mkono wowote kwenye hili, kwanza elewa policies za wenzetu sio kama Africa, kama kipaombele kilichoko ni kutoa siliha ukrain hata aingie mrusi kuongoza uk hamna namna itabadilika pale sio Africa kila rais anaingia na mambo yake
  5. GreatSeal

    Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

    Achana nae huyo ana mahaba na Russia ya ajab tuu, najiuliza kwamba hiivi kipindi marekan akiwa anapiga iraq ama nchi yeyote ingeteka jiji mojawapo pale USA ndio na USA ingetulia hiiv kuwa inasikilizia upepo??🤣🤣🤣
  6. GreatSeal

    Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

    Pale ndio nilijua hata malaw bado umempa cheo yaan siku ile Wagner asingedanganywa na belarus Putin alikuwa ashakimbia Moscow ndio nilijua russia hamna kitu RT walikuwa wapoleeee🤣🤣🤣
  7. GreatSeal

    Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Ukraine anaendelea kumuandama Urusi

    Nam nahis kuna mkono wa Yahud hapa sio bure
  8. GreatSeal

    China state television declares "Will take Taiwan in early June" warns u.S. To end visits to Taiwan and adhere to the one China Policy

    USA always akili kubwa mkuu, bases zake kila mahali alikuwa hachez ngoma yaan kila adui wa USA alifanikiwa jiran yake kumtengeneza kuwa adui, N.Korea jua S.Korea yuko pale kumzibiti na msaasa wa west, Russia kashatengenezewa, Sweden, Ukrain, Lativia etc woote wanaomzunguka kasoro belarusi tuu...
  9. GreatSeal

    Ndege kubwa ya abiria ya C919 yashiriki kwenye Maonesho ya Ndege ya Singapore

    Hapa hawajatengeneza ndege bado wamefanya assembling ya ndege
  10. GreatSeal

    WW3 ls coming as Russia prepare to move Nuclear weapons in Space US is Scared

    Wenzake US since 1976 walitaka lipua nuclear mwezini hii Ni old storr
  11. GreatSeal

    Haya ndiyo majibu ya Iran na washirika wake baada ya kushambuliwa na Marekani

    Mkuu ukiona bomber kama hio inapigana na vikundi vya watoto WA kigaid jua uncle Sam hajatoa Silaha, tambua taifa lisilo na maonesho ya Silaha ndio hili, hata during WW2 the world was shocked na nuke Hakuna aliejua wanayo
Back
Top Bottom