Recent content by GREAT PJM

  1. G

    JamiiForums Ajali ya daladala Mbagala!

    Niwie radhi ndugu yangu, mimi ni msafiri nilikua napita njia. Nimeiweka hewani ili kama kuna mtu anaelewa vizuri juu ya ajali hii atujuze wenzie!
  2. G

    JamiiForums Ajali ya daladala Mbagala!

    Leo asubuhi muda wa saa moja kasoro, basi la daladala limepinduka eneo la sabasaba. Basi hilo lilikua linatoka Mbagala kuelekea wilaya ya Kinondoni na lilikua limejaa abiria. Wanajamii mna habari na ajali hii? je, kuna waliopoteza maisha ktk ajali hii iliyo sababishwa na uzembe wa makusudi wa...
  3. G

    JamiiForums Siasa za Tanzania zinatupeleka wapi?

    Nimeona kupitia vyombo vya habari taarifa kuhusu mauaji ya kiongozi wa chadema huko Arusha, ni jambo la kusikitisha sana ndani ya taifa tunaloliita kisiwa cha amani kufikia hatua ya kuuwana sababu ya tofauti za kiitikadi! Naomba maoni yenu tunaelekea wapi na siasa zetu za Tanzania kisiwa cha...
Back
Top Bottom