Recent content by great dream

  1. G

    Course ya Procurement and Supply Management inahusiana na nini?

    Naomba mnisaidie kunielewesha kuhusu hii course, na maeneo gani unaweza kuajiriwa baada ya kuhitimu?
  2. G

    Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

    amepishana na gari la mshahara 😁
  3. G

    Hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja au ni hulka ya mtu tu?

    Nataka kujua kuhusu hiki kitu ambacho kimenifanya nishindwe kabisa kuwaamini wanaume ,je ni kweli wanaume wameumbwa na matamanio kiasi cha kwamba hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja?
  4. G

    SoC04 Kuanzisha huduma za upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa mtandaoni

    Utangulizi Vyeti vya kuzaliwa ni nyaraka muhimu zinazothibitisha hali ya kisheria ya kuzaliwa kwa mtu na zina umuhimu mkubwa katika maisha ya kila siku.Katika Tanzania mchakato wa kupata vyeti vya kuzaliwa umekuwa na changamoto nyingi ukiwa ni pamoja na ucheleweshaji,urasimu na upotevu wa...
  5. G

    Je, nichague course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira kwa combination za arts?

    asante kwa maoni yako,lakini kila mtu anasafiri yake ya maisha.Niko katika harakati ya kutafuta njia bora kwangu.Ningeshukuru ushauri wa kujenga ili niweze kufanya maamuzi sahihi.
  6. G

    Je, nichague course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira kwa combination za arts?

    Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita mchepuo HGK. Nahitaji kujua ni course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira naweza kwenda kusomea chuo kikuu?
Back
Top Bottom