Great point! Sisi wanyonge ndio tunaumia aseh. Itafikia hatua Rais wa Jamhuri atakuwa anapokelewa Zanzibar kama balozi maana ikulu ipo moja. Na pengine akienda Zanzibar huwa anafikia hotelini.
It has been a tradition to relish the festival and celebrate the founders of our Union Mwalimu Nyerere and Abeid Karume to parades. However, it has been a sin, too dangerous for anyone to question or want to critique this Union.
My purpose here is not to question the history or legitimacy of...
Hapana mkuu sina hata wazo la kuomba kazi au kumpiga kizinga kama ulivyosema. Nina nia njema kabisa na labda inaweza kutusaidia pande zote na kutoa fursa zaidi kwa vijana wengine. Ubarikiwe sana.
Habari za leo wakuu, nina ombi la kukutana na Mo Dewji ila sijui nianzie wapi. Social media accounts zake sina uhakika kama anapata hata muda wa kusoma comment au dm. Mwenye kujua namna ya kufanya mawasiliano yake nitashukuru sana. Nipo serious wakuu, sio kumteka maana najua mawazo ya wengi hapa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.