Recent content by Grayson

  1. G

    Sijaelewa: Mahafali ya vyama vya siasa ni ya elimu gani?

    Bwana Misuli, taja sheria au kanuni inayokataza utakuwa umetusaidia tusiojua.
  2. G

    Sijaelewa: Mahafali ya vyama vya siasa ni ya elimu gani?

    Mzee Mwanakijiji, Ingependeza kama kwenye andiko lako ungeweka hata sheria au kanuni yeyote inayozuia wanafunzi wa vyuo kuwa wafuasi wa vyama vya siasa na ungejenga msingi wa hoja yako hapo. Hivi haya mahafali yanatofauti gani na yale ya kidini ambapo unakuta chuoni wanafunzi wa madhehebu /...
  3. G

    Ndoto za Juliana Shonza zayeyuka!

    Mh; Rais ana nafasi kumi. Anaweza pitia upande huo pia
  4. G

    CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Tulishaambiwa nchi hii wananchi wa kawaida wanalalamika, na viongozi nao wanalalamika. Ndio haya tunayoyaona. Tunahitaji watu wanaoweza kufanya maamuzi sio watu wanaoweza kulalamika. Sisi wananchi wa kawaida tunahitaji kufanya maamuzi mwaka huu maana viongozi wetu wameshindwa. Maamuzi sahihi ni...
  5. G

    Mazungumzo ya makada

    Yanaweza kuwa ya kutunga lkn sio kwa hiyo sababu ya hizo tick 2 unayosema. Kama kwenye group wote mpo active hizo tick mbili zinatokea na hata wote wakisoma msg, tick zinabadilika zote kuwa blue. Mara nyingi kwenye groups tulizonazo ni ngumu kukuta watu wote wapo active ndio mana hilo...
  6. G

    Magufuli vs Lowassa

    Usiwalinganishe kwa namna wanavyotangaza vipaumbele. Kwa sasa angalia idadi ya watu maana mwisho wa siku watashindanishwa kwa kura
  7. G

    Tofauti kati ya Mrema na Lowassa kwenye ugombea urais

    Huwezi linganisha nyomi ya kipindi hicho na hiki kwa namna hiyo. Hata tu kwa statistics za kawaida, idadi ya wa-Tanzania imeongezeka lkn pia uelewa na elimu ya watu wa kipindi hiki ni tofauti na kile lkn pia upinzani wa sasa una umri mkubwa na nguvu zaidi. Record ya watu wanaohudhuria mikutano...
  8. G

    Malaika wa kuzimu, anaita watu makundi kwa makundi

    Dada Juliana, tutumie mifano ya vitabu vya Mungu ili kutujenga na kuelekezana maana tunaamini hekima yote yapatikana huko, lakini kazi ya kuhukumu binadamu wenzetu tumwachie mwenyezi Mungu pekee.
  9. G

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kwanini kama walijua ni mtu mbaya hawakumfukuza mapema mpaka ameharibu chama. Kwanini amseme leo wakati ameshaondoka. Tangu 1995 anaharibu chama wanamwangalia tu. Mbona sasa kama ni hivyo wote ni wakulaumu kwa kulea uovu. Sasa hivi ni ngumu kuwaelewa
  10. G

    Ugumu katika baadhi ya vituo vya kuandikisha wapiga kura Arusha

    Nianze tu kwa kusema, inawezekana waliopewa kazi ya kuandikisha watu hawakupewa mafunzo ya kutosha. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na shida sana baadhi ya vituo, hususani kituo kilichopo Njiro eneo la Radio Tanzania. Wamekuwa wagumu sana kuandikisha watu eti kwa kigezo kwamba haujatoka mtaa...
  11. G

    Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"

    Zitto mwenyewe amekubalikwamba kafukuzwa kama nukuu ya barua yake ilivyo hapo chini. “Mnamo tarehe 10 Machi, 2015, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA akiwa katika MakaoMakuu ya chama hicho na akiambatana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, alitangaza kuwaChama hicho kimenifukuza uanachama. Hivyo...
  12. G

    Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"

    Mkuu Pasco unachoandika kinapingana hata na barua ya Zitto mwenyewe. Zitto mwenyewe amekubali kwamba amefukuzwa. Angalia nukuu ya barua yake. “Mnamo tarehe 10Machi, 2015, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA akiwa katika Makao Makuu ya chamahicho na akiambatana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, alitangaza...
  13. G

    Mzimu wa ASP ulivyobadili msimamo wa JK katika dakika ya 90.. juu ya Serikali 3.

    Mkuu Yericko. Kwanini umesema jibu lipo kwa Mtikila?
  14. G

    Kwa Ukali Dr Kitila Amjibu Ansbert Ngurumo

    Dr Kitila. Dalili za mkosaji ni pamoja na kutumia muda mwingi kujitetea ingawa sio wote wanaofanya hivyo ni wakosaji. Ni kama vile ukiona mtu anahitaji sabuni nyingi na maji mengi wakati wa kuoga basi ujue yawezekana kachafuka sana na kweli akawa kachafuka kwa sababu hakuwa anafanya kazi au...
  15. G

    Kwa Ukali Dr Kitila Amjibu Ansbert Ngurumo

    Dr Kitila Mkumbo kaa kimya. Kwa sasa kila unachoandika una haribu. Kitendo cha wewe kuendelea kutetea waraka wako wa siri ni kujidhalilisha mbele ya jamii ya wasomi. Waraka wako wa siri ulikuwa mzuri ulipokuwa siri. Baada ya kuwekwa hadharani sio mzuri tena. Kaa kimya utafute namna nyingine ya...
Back
Top Bottom