Recent content by GRAYSON PATRICK

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    wapi Wewe msosi full
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Kwa waliochaguliwa Ndanda wasiwe na wasiwasi shule ni nzuri, maji na umeme vipo muda wote chakula kizuri walimu wapo masuala ya afya kuna hospital karibu. Karibuni sana
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri PCM

    Asante sana umenisaidia kwa kiasi kikubwa mno
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua jinsi wanavyochagua

    Acha uzembe ww nenda advance uhamisho unawezekana bila refaree naibu wazir wa elimu mulugo alisema uhamisho kwa kesi kama yako kama unataka kubadil comb na kwenye shule waliokuchagua haipo unaweza kuhama cha msingi wasiliana na mkuu wa shule uliochaguliwa na ambayo utataka kwenda mbona jamaa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Kama unatafuta credit moja ni sawa haitakusumbua sana we kama una credit ya chemistry na geography fanya urisit masomo matano biology,kiswahil,civics,english na hstry il uweze kuokota credt yyote kwa sabab sheria ya baraza mwanafunzi awe na credit tatu alaf awe amefaulu masomo mawili kwenye comb...
  6. G

    JamiiForums Tanzania MSAADA! Shinyanga sec a.k.a shy bush

    We kakomae tu kambi n popote kaka
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri PCM

    vipi kuhusu chandy sababu nimeshanunua chandy.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri PCM

    asante kaka ngoja mie nkakomae.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri PCM

    asante kwa ushauri wako wa kutia moyo na hamasa
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri PCM

    asante sana kwa ushauri wako
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri PCM

    asante kwa ushauri wako mzuri
  12. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri PCM

    asante sana kaka
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mliochaguliwa NDANDA BOYS HIGH SCHOOL

    Jaman ndgu zangu wa ndanda tusaidiane aliyepata joining instruction tuwasiliane kwa cm no 0754748431
  14. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri PCM

    Habari zenu wana jf najua humu kuna watu waliosoma pcm na wanaoifahamu pcm mnaweza kunisaidia kunishauri jinsi ya kuimudu hii combination
  15. G

    JamiiForums Tanzania Makiba high school

    N rafki yangu ndo wamempanga hko co mimi ila tuko naye khama kama vp chkua namba zangu utantxt nmpe jamaa n 0754748431
Back
Top Bottom