Recent content by Grandson Slim

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mvua iliyonyesha leo usiku, imesabisha familia nzima kupoteza maisha hapa Tunduma.!

    Watu wana kuwa na mawazo mgando.. JK, CCM na Mamlaka ya hali ya hewa ndiyo wanaoileta mvua...????? Hao wahusika wote hawana uwezo wa kuzuia mvua isinyeshe, embe jiulize iwapo utamfumania mke akiliwa URODA utamlaum JK.....?????
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mvua iliyonyesha leo usiku, imesabisha familia nzima kupoteza maisha hapa Tunduma.!

    Mamlaka ya hewa na CCM vinakujaje hapa...??? Akili mgando.....
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wafuasi na viongozi wa CHADEMA wapigana wakigombea posho

    Sasa nimeanza kuelewa kirefu cha CHADEMA Chama cha demokrasia ya Mabondia....
  4. G

    JamiiForums Tanzania MUSA na NEEMA wako wapi?

    Watoto wageuka mawe... Awafu mwenye nguvu.. Mkwawa shujaaa Mchoyo hana rafiki.. Andunje na wadudu.. Safari yenye mkosi.... Jogoo aliyesema.... Heri mimi sikusema...
  5. G

    JamiiForums Tanzania MUSA na NEEMA wako wapi?

    Hawa watunzi wa sasa hovyo kabisa... Vile vitabu vya enzi za Nyerere na Mwinyi ndiyo vilikuwa vitabu bomba, mwanafunzi huchoki kuvisoma...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nidhamu ya kuwapisha waliotuzidi umri kwenye magari imepotelea wapi?

    Wakubwa wengine nao hajiheshimu nitakupisha kwa hiari siyo kwa kunilazimisha....
Back
Top Bottom