Recent content by Gramunyo

  1. G

    Tatizo la milango kupasuka

    Wakuu Naombeni ufahamu, fundi kaniwekea milango aina ya mkongo, baada ya wiki mbili imepasuka kama picha inavyoonyesha, naomba kujua tatizo ni nini na nitairekebishaje.
  2. G

    Wataalamu wanisaidie gharama ya vifaa vifuatavyo vya ujenzi

    vyumba vitatu vya kulala, dining, sebule & jiko
  3. G

    Wataalamu wanisaidie gharama ya vifaa vifuatavyo vya ujenzi

    Nimepatiwa na fundi mmoja hivi baada ya kumuomba anikadirie material za kuezeka
  4. G

    Wataalamu wanisaidie gharama ya vifaa vifuatavyo vya ujenzi

    Mbao ndefu futi 20. 2 X 4 = 150Pcs 2 X 2 = 130Pcs 1 X 8 = 18Pcs 1 x 10 = 12Pcs BATI = 130 Pcs upana 87 cm (ALAF gage 28 au 30) Kofia = 30 Valley 15 Misumari ya nnchi 4 = 50kg misumari ya nnchi 2.5 = 4kg Misumaru ya Bati =30 packet kenchi wire = 6
  5. G

    Makadirio ya gharama za kuezeka paa la nyumba

    Tunajua kuishi nao masnichi, ndio shida ya kukaa kwa mume wa dada, lazima akili zigande
  6. G

    Makadirio ya gharama za kuezeka paa la nyumba

    Aina ya bati ALAF migongo mipana
  7. G

    Makadirio ya gharama za kuezeka paa la nyumba

    Aina ya bati ALAF migongo mipana
  8. G

    Makadirio ya gharama za kuezeka paa la nyumba

    Wakuu Naombeni wataalamu mnisaidie gharama za kuezeka paa hili, roof plan attached
  9. G

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Wakuu tatizo ni nini hasa, mwili unaniwasha, nimeenda hospitalini nikachukua full blood picture mara mbili na hakuna kilichoonekana, baada ya hapo nikapimwa Alergies na kuambiwa nina Allegy kidogo, vipimo vikaonyesha (S-IMMUNOGLOBULIN E 102.0 KU/L H 0.0 -100.0, Mwenye...
Back
Top Bottom