GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,546
- 108,876
Nchi hii ina Watangazaji na Wachambuzi ( wa Redioni ) wa hovyo hovyo hadi kuna muda unaona 'Kinyaa' tu Kuwasikiliza.
Hivi ni nani hajui kuwa jana Yanga SC ilichokifanya ilipocheza na Ihefu FC kwa Mkapa na Kumfunga zile Goli 4 ni sawa tu na Kupiga Bomu Mochwari na Kujisifu kuwa Umeua Watu wengi?
Kwa tulioangalia Mpira hakuna Mechi iliyokuwa Tamu jana kama ya Mtibwa Sugar FC na Tunduma United ambapo Mtibwa Sugar FC japo alishinda Bao ( Goli ) Saba ( 7 ) ili Mpira ulipigwa mwingi sana mpaka raha tofauti na Mchezo wa Upande Mmoja uliokuwa ukichezwa Benjamin Mkapa Stadium.
Na leo nilidhani kwa Haki kabisa humu Redioni 'airtime' Kubwa watapewa Mtibwa Sugar FC walioshinda Goli 7 kwa 1 cha Kushangaza kama si Kusikitisha pia wanaozungumzwa na Kuimbwa ni Yanga SC ambao labda ni Mwendawazimu tu peke yake ndiyo alijua kuwa Jana Yanga SC ingefungwa au isingeshinda.
Na hata Yanga SC Wenyewe nao ni 'Wabovu' tu kwani kwa Udhaufu ule wa Ihefu FC na Uchezaji wao mbovu, wa Kitoto na Kipuuzi kama wangekutana na Simba SC yenye 'Mafundi' watupu nina uhakika jana wangefungwa Goli kama siyo 13 au hata 19 kabisa.