Recent content by Graduate Engineer

  1. G

    TCU inakwepa majukumu yake kuhusu Postgraduate Studies?

    Mifano Iko wazi taasisi za elimu kama IAA, PMI tayari wana kozi za masters za mwaka mmoja. Pia kumbuka regulations ya undergraduates na postgraduates mandate ipo kwa TCU lakini ukiwapigia simu watolee maelezo wanalikwepa hili swala.
  2. G

    TCU inakwepa majukumu yake kuhusu Postgraduate Studies?

    Habari Members ! Kumekuwa na changamoto ya Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha programu zao za Uzamili(Masters) pasipo Uwazi uliopo baina ya Vyuo vikuu vya Tanzania/baadhi Taasisi husika za elimu na TCU umekaa kimya. 1. Baadhi ya vyuo vikuu/Taasisi za elimu kuendesha masters...
  3. G

    HCMIS and Future careers

    Degree zipo hzo mkuu
  4. G

    HCMIS and Future careers

    So wa kuongoza engineer So awe amesoma Nini?
  5. G

    HCMIS and Future careers

    Habari members Je, serikali imeanza kuzitambua masters by thesis kweny mfumo mpya wa HCMIS? Naleta kwenu Maada, Kwa kigezo Cha serikali kwenda principle ni lazima usome relevant course? Je, ni Bora kusoma specialized masters amby relevant na first degree/ kusoma broader masters kwa kuongeza...
  6. G

    Tetesi: Muungano: Manufaa zaidi kwa Wazanzibar - Bodi ya mikopo kwa wazanzibar (ZHELB), Pia ZANAJIRA(Ajira portal kwa raia wa zanzibar)

    "Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) au Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu Tanzania (HESLB) kote...
  7. G

    ZanAjira ni kwa Wazanzibari pekee?

    Hii nchi ngumu sana Ajiraportal ni kwa Watanzania (Watanganyika na Wazanzibar) ila ZanAjira ni kwa Wazanzibar. NINI FAIDA YA HUU MUUNGANO KWA WATANGANYIKA.
  8. G

    Mfumo wa lawson

    Inatumika nn kiongozi?
  9. G

    Mfumo wa lawson

    Napenda kukutanisha watumishi wa umma mbalimbali na maafisa wanao tumia huu mfumo katika majukumu mbalimbali kupeana hints, maswali na majibu ili kuweza kujiweka mazingira mazuri. SWALI: Mwenye ufahamu je huu mfumo ushaanza kutomoa masters degree za by thesis (research only ambazo hazina...
  10. G

    JOB SCHEMES/ Muundo wa kiutumishi

    Boss naomba nisaidie waraka wizara ya maji. Msaada wako tafadhali.
  11. G

    Masters program

    Asante kwa mchanganuo mzuri sana kiongozi
  12. G

    Masters program

    Vigezo vipo viwili tuu 1. Kuomba kufanya SEAP 3 years zen ripoti zako zihakikiwe mwisho usajiliwe 2. Unstructured: Hii kwa mtu alieajiliwa anaweza kuandika ripoti mradi mmoja zen ikipitishwa unakuwa registered. N.B: vyote hpo juu ili ufanikishe lzm uwe GE kwanza Unaweza kuongezea kweny...
  13. G

    Masters program

    Vigezo vipo viwili tuu 1. Kuomba kufanya SEAP 3 years zen ripoti zako zihakikiwe mwisho usajiliwe 2. Unstructured: Hii kwa mtu alieajiliwa anaweza kuandika ripoti mradi mmoja zen ikipitishwa unakuwa registered. N.B: vyote hpo juu ili ufanikishe lzm uwe GE kwanza
  14. G

    Masters program

    Kuadd value katika my career hasa mbeleni kuwin competition mahala pa kazi hasa ikitokea fursa zaid miongon mwa employees kuwa promoted na kupata managerial positions.
  15. G

    Masters program

    Nas Nashukuru kwa mchango wako.
Back
Top Bottom