Recent content by graci3ous

  1. graci3ous

    Walioongoza mitihani ya Darasa la saba hawa hapa!

    Itawapasa kuacha kucheza ngoma, kwenda madras masaa machache tu kwa siku na kujisomea elimu dunia masaa mengi ili waweze kuongoza kwa wingi.
  2. graci3ous

    Walioongoza mitihani ya Darasa la saba hawa hapa!

    haki ya mwenyezi Mungu, Uislamu na Waislamu sometimes ni Nouma, ninyi ni ndugu zetu lakini wakati mwingine hamjiulizi cha kufanya ila mnataka vitokee tuu kama Mana kule jangwani kipindi cha Nabii Musa na wana wa Israeli. Hakuna kitu ya namna hiyo Mungu alisema asiyefanya kazi basi asile, Shika...
  3. graci3ous

    AFCON ni Leo: Mpira utaoneshwa na TV gani?

    halafu na malawama yote unayoyatoa hapa ukute hata kazi huwa hufanyi, mvivu wa kutupwa kazi kubofya tu!
  4. graci3ous

    Scott Peterson: Je ni kweli alimuua mkewe mjauzito wa miezi 8…?

    Lakini ilisemekana kwamba alimchukua mkewe wakaenda Picnic ziwani na akamtosa mkewe majini na kudai kaanguka bahati mbaya kama naikumbuka vizuri hadithi hii after that ndio ikabainika aliua kwa sababu alimkatia mkewe life insurance ambayo angepata mamilioni ya dollars kwa kifo chake.... Pesa...
  5. graci3ous

    UDOM wajiuza, UDSM waanza

    Binti akijiuza mwanaume akamnunua hawa wawili wote wako sokoni, huwezi ukapata shida kidogo ukakimbilia umalaya, vipi ukianza kazina mshara ukaumaliza tarehe kumi hizi ishirini utajiuza kusubiria salary?...... Hela haikutoka ya siku sitini ilitoka ya siku ambazo ilipaswa kutoka, tusizoee kusema...
Back
Top Bottom