Recent content by grace twilolela minga

  1. G

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ujenzi wa makanisa mengi ya KKKT huwa hauishi?

    Wewe unazungumzia ujenzi wa majengo ya kuabudia au miradi mingine ya usharika? Nenda kimara korogwe uone kazi inayofanywa na washarika.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kabisa kusimamia sekta ya usafiri wa pikipiki (bodaboda)!

    Wa kulaumiwa ni serikali na polisi. Nilimshangaa igp sijui ikizugumzia ajali ya bodaboda na mwendokasi eti bodaboda alipita wakati taa hazimfuhusu bila kuwa mwangalifu wakati hakutakiwa kupita. Hawa ataendelea kufa au kulemaa kwa uzembe wao na polisi. Mbona Zanzibar wameweza?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Askofu Munga: Moyo wangu umeugua kwa dhuluma KKKT waliyomfanyia Askofu Bagonza

    Hakuna kanisa takatifu, yote yanakasoro tu.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya viboko ifutwe mashuleni: Madhara yake hayadhibitiki

    Naunga mkono hoja. Mtoto kafanya test, kapata 60%, anachapwa. Mwulize mwalimu mwenyewe kama alikuwa anafaulu hivyo alipokuwa anasoma.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Upendo FM kujitoa online?

    Nilifukiri ni tatizo la simu yangu kumbe siyo. Mimi pia ni msikilizaji wa hiyo radio usiku na alfajiri. Tuambieni imetokea Nini?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini tukienda hospitali zile fomu za NHIF hawafungi hesabu pale chini?

    Ni kweli kabisa. Hili tatizo lipo. Kabla ya kusaini inabidi mstari wa kufunga uwekwe halafu nisaini. Kama NHIF mnashirikiana katika Hili, naomba Serikali iingilie kati si kubaki mnalalamika tu kwamba matumizi yamekuwa mkubwa wakati mnaacha mianya ya wizi ikiendelea. Nssf zamani walikuwa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Serikali imesalimu amri kwa bodaboda: Wenzenu Nigeria wako hivi

    SI kwamba serikali iwazuie, ila walazimishwe kufuata sheria za barabarani. Kuto kufuata sheria ndiko kunaleta ajari nyingi na kusababisha vifo na walemavu wengi. Mbona Zanzibar wanafuata sheria?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

    Mbona NSSF siku zote tuliambiwa kuchagua hospitali moja tu katika eneo unaloishi utakako tibiwa, na tuliendelea hivyo unless unakiwa referred hospitali nyingine na haijawa tatizo?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

    Weupe au weusi ni genetic
Back
Top Bottom