Hakika Miongoni mwa mikoa ambayo viongozi wake in MAJANGA kwa maendeleo ya mkoa huo ni pamoja Na RUKWA. Mkoa huu toka Mh.Mzindakaya Na Mh.Kimiti wameacha kugombea ubunge Na CCM kuongozwa Na wahuni Na wakimbizi maendeleo ya mkoa yameporomoka sana.Wabunge Wa CCM no kama ifuatavyo:
1.Aeshi Hilaly...
Hao nao ndio wale wale Wilaya INA miaka30 haina maendeleo sio ya mji wala binadamu Nyumba za nyasi mpaka katikati ya mji wangemtangaza huyo Kessy Chifu wao badala ya mbunge
CCM ni KITOVU CHA UFISADI, NI KIWANDA CHA UFISADI hivyo hiyo Mahakama in Muhimu hata Waliogawa Nyumba za Serikali ,Wanunuaji Wa kivuko cha MV. Dar Escrow Malumbesa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.